Wanawake wa siku hizi mkoje?

Wanawake wa siku hizi mkoje?

Dunia in watu bl 7. Bl 5 ni wanawake. Wanaume bl 2. Kati ya hao Kuna watoto, mashoga, wazee na mapadre. Hivyo wanaume wenye uwezo wa kuwanao hao wanawake ni Kama ml 800 tu wakati wanawake wenye uhitaji ni Kama bl 3. Unategemea Nini lazima wawe micharuko aibu hazitawasaidia.
 
Kama vile umechanganya na sound mkuu
 
Dunia in watu bl 7. Bl 5 ni wanawake. Wanaume bl 2. Kati ya hao Kuna watoto, mashoga, wazee na mapadre. Hivyo wanaume wenye uwezo wa kuwanao hao wanawake ni Kama ml 800 tu wakati wanawake wenye uhitaji ni Kama bl 3. Unategemea Nini lazima wawe micharuko aibu hazitawasaidia.

duh hizooo data nizakwelii au chai tuu?
mil800
 
Zamani tulikuwa tunalalamika watoto wa kike wana aibu sana hatuwapati kuongea nao vizuri. Wanakimbia mpaka kubadilisha njia tusiwazoee.

Siku hizi wameondoa aibu nanyi bado mnalalamika?
Mkuu Kiranga, heri ya sikukuu ya Idi
 
Shida ni kwamba siku hizi ukitongozwa tu shida zinaibuka mfano; njaa inauma, nywele zinafumuka, mzazi anaugua ghafla, kodi ya nyumba inaisha, matatizo lukuki hiyo aibu itoke wapi!!!
 
Iddi mbaraka boss! Siku hizi kuna 50/50[emoji16][emoji16]ila ni kweli haipendezi sana kuwa hivyo...maana moienda faragha anaweza kukuuliza "mbona huvui!!"
 
Mkuu waache wawe hivyo ndo vizur watupunguzie aibu na vikwazo....
 
Nyie wavulana wa dasilamu kila kitu kulialia tu, mna aibu kuliko wanawake na sasa mmezidiwa hadi kula imekuwa kesi.... endeleeni kulamba lips na kuvaa vipedo bin delicious.
 
Aisee mi napenda sana mwanamke wangu asiwe na aibu hata tone, yani ajiachie ya ela yote. Hakuna kuzuga wala kuvunga kitu, hapo ndio saafi.
 
Dunia in watu bl 7. Bl 5 ni wanawake. Wanaume bl 2. Kati ya hao Kuna watoto, mashoga, wazee na mapadre. Hivyo wanaume wenye uwezo wa kuwanao hao wanawake ni Kama ml 800 tu wakati wanawake wenye uhitaji ni Kama bl 3. Unategemea Nini lazima wawe micharuko aibu hazitawasaidia.
Ktk hao mil800 kuna ambao wameshaoa kuna wasio na ajira na kuna mabachera ambao hawana mpango wa kuoa bila kusahau kuna mahanithi

Aa sijui ukitoa na hao niliowaongeza watabaki wangapi, mimi sijui
 
Zamani mwanaume unajisaidia haja ndogo uchochoroni,akitokea mwanamke akakukuta ilikuwa,either anageuza njia au anakusubiria ndio anapita,wakati hawa wa siku hizi anakuja na usipojiongeza kukatiza mkojo au kugeuka kumpa mgongo, anakatiza kwenye kinjia bila hata ya hofu...
 
Zamani mwanaume unajisaidia haja ndogo uchochoroni,akitokea mwanamke akakukuta ilikuwa,either anageuza njia au anakusubiria ndio anapita,wakati hawa wa siku hizi anakuja na usipojiongeza kukatiza mkojo au kugeuka kumpa mgongo anakatiza kwenye kinjia bila hata ya hofu...
Tunasogea kabisa kuchungulia kibamia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee
Yaani nimecheka mpaka baaaassssiiiii
Pole kwa yaliyokukuta boss. Dawa yao ni ndogo sana. Akikukodolea macho we ongea maneno makavu makavu bila tafsida.
Trust me, kila mwanamke ana uso wa haya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom