wanawake wa rukwa kwa mzee pinga

Sinkala t-shirt for me please'

Tabia za wanawake wa rukwa ninazofahamu ni

1. Hawezi kutazamana usoni na baba mkwe, hata kumsalimia kwa kumpa mkono.
2. Akimpa mume chakula atapiga magoti ale mpaka amalize ndo ainuke atoke na vyombo.
3. Kutongoza ni ile staili ya kupiga mtama, sijui wa leo ila ndo ilikuwaga hivyo.

Sinkala hebu nisahihishe kama nimekosea, then nitarudi tena kwa nyongeza zaidi.
 
JF imefika hatua hii ya kudodosa profile za makabila kwa jinsi!! Je umempenda msichana wa huko au umepata wakwe watarajiwa wa huko?Ukipenda boga penda na maua yake, acha kudodosa dodosa, nenda mzima mzima hivyohivyo!!!

Mama Mdogo, habari za leo.
naona leo umeamua kujichanganya huku kwetu huwa nakuona jukwa la siasa tu.
 
Sinkala t-shirt for me please'

Tabia za wanawake wa rukwa ninazofahamu ni

1. Hawezi kutazamana usoni na baba mkwe, hata kumsalimia kwa kumpa mkono.
2. Akimpa mume chakula atapiga magoti ale mpaka amalize ndo ainuke atoke na vyombo.
3. Kutongoza ni ile staili ya kupiga mtama, sijui wa leo ila ndo ilikuwaga hivyo.

Sinkala hebu nisahihishe kama nimekosea, then nitarudi tena kwa nyongeza zaidi.

Ahahahahaah!! Hiyo ya tatu hapana!
 
JF imefika hatua hii ya kudodosa profile za makabila kwa jinsi!! Je umempenda msichana wa huko au umepata wakwe watarajiwa wa huko?Ukipenda boga penda na maua yake, acha kudodosa dodosa, nenda mzima mzima hivyohivyo!!!

sio bure huenda una kampuni ya kusuluhisha ndoa, na hapo ni kama unataka kuongeza potential profile of your future customers! Looooooooooh!
 
Ahahahahaah!! Hiyo ya tatu hapana!

ndiyo kwetu kulivyo,
kufikia kumpata demu lazima jasho likutoke,
atakula vidole, atakula vijiti,
hivyo ukitaka kwa urahisi ni lazima umle mtama wa nguvu.
 
Sinkala t-shirt for me please'

Tabia za wanawake wa rukwa ninazofahamu ni

1. Hawezi kutazamana usoni na baba mkwe, hata kumsalimia kwa kumpa mkono.
2. Akimpa mume chakula atapiga magoti ale mpaka amalize ndo ainuke atoke na vyombo.
3. Kutongoza ni ile staili ya kupiga mtama, sijui wa leo ila ndo ilikuwaga hivyo.

Sinkala hebu nisahihishe kama nimekosea, then nitarudi tena kwa nyongeza zaidi.

Nna shaka na hiyo na. 3. Kamani kweli basi watakuwa wamekopi kutoka kwa wachaga, aiseeeeee!
 
ndiyo kwetu kulivyo,
kufikia kumpata demu lazima jasho likutoke,
atakula vidole, atakula vijiti,
hivyo ukitaka kwa urahisi ni lazima umle mtama wa nguvu.

hahahahahahahahahahahhah, aisha JF raha kweli.
 
Back
Top Bottom