Jamaani hebu nipeni details za hawa wanawake wafipa, etc
hasira hazija isha tuu??, ok leo nitawahi kurudi.
siwezi kuyasema hadharani wakati nje mawingu yametanda
Jamaani hebu nipeni details za hawa wanawake wafipa, etc
Mie nnauwezo wa kuzuia radi isikulipue, we sema tu. Ila kaba hujasema niambie nikuzindike kabisa. Ila angalia sana, unaweza ukakuta kuku wako wote waliopo zizini wanajisaidia kamba zisizoisha.
kwanza badili heading yako ndio nitakupa raha ya watoto wakifipa,mfumile kutali njile kutali mkwai,hapo kwenye pinga ni pinga au pinda??Jamaani hebu nipeni details za hawa wanawake wafipa, etc
Ila ujue rukwa hakuna wafipa tu,wafipa wapo sumbawanga navijiji vyake,mpanda kuna wabende,wapimbwe,wakonongo pale inyonga,na karema kuna waha,wafipa,wamanyema,sasa wewe unataka kujua wa kabila gani?
Haya jamani tupeni mahabari na sie tujue...
we sinkala we ni pm nataka tshrt yahuko rukwa+katavi mwee mujango nilifika sana huko kibiashara,aah kawajense.nsemulwa,ibindi,kasokola,ilembo,majiyamoto,mpimbwe,kakese,karema,mpui,mwisi,mwese,aah lyambalya mfipa wee!matai,kaengesa,muze,mamba,kasansa,kilida,inyonga,ifukutwa,we konokwachele kumlanda wee,mfumile kutali njile kutali.Ungehudhuria tamasha letu pale makumbusho uwaone. Wapole, wakarimu, hawana hasira za kikurya. Jamani kama kuna mwana-Rukwa alikosa T-Shirt kwenye tamasha, aniPM. Nina belo zima la maT-shirt yaliyotolewa na wadhamini yakakosa wavaaji, yanagawiwa bure kabisa kwa wana Rukwa + Katavi.
By Sinkala Kapembwa Kalunga.
nasikia kuna mila za ajabu sana huko.
Du! Mkuu unaijua mitaa vizuri sana, vipi Kabungu umewahi fika?we sinkala we ni pm nataka tshrt yahuko rukwa+katavi mwee mujango nilifika sana huko kibiashara,aah kawajense.nsemulwa,ibindi,kasokola,ilembo,majiyamoto,mpimbwe,kakese,karema,mpui,mwisi,mwese,aah lyambalya mfipa wee!matai,kaengesa,muze,mamba,kasansa,kilida,inyonga,ifukutwa,we konokwachele kumlanda wee,mfumile kutali njile kutali.