VUVUZELA
JF-Expert Member
- Jun 19, 2010
- 3,103
- 785
- Thread starter
- #61
Thanks mkuu!Eh! Suala gumu kweli kweli kisaikolojia ninayomengi ya kueleza juu ya uamuzi wako wa kuleta suala ilo hapa jamvini, hasa nikiangalia Content na maudhui yake, kwakweli PYSCHOLOGICALY inanipa nafasi ya kuchanganua mengi...any way niachane na upande huo niichukulie/niitazame kawaida, kisha niseme...
1. Dunia ya leo watu hawaangalii mwanamke sura/Umbile wala rangi. watu wanaangalia mwanamke mwema, mwenye upendo kwa familia na jamii ya Ndg na marafiki, mwanamke mwenye mtazamo chanya wa kujenga familia kiuchumi na kukusaidia kufikia malengo ya maisha zaidi sana mwanamke mcha mungu.
kwa maana hiyo ukimwitaji mwanamke wa namna hii "Mdau mwenzangu" hapatikani kwenye mitandao au online, kwani sifa hizo zinaitaji kumwona mtu na kumfahamu kisha umwambie NAKUPENDA. unampendea nini? jibu ni hayo uliyokwisha yaona.
Kwa mwanamke wa online huwezi ona sifa hizi! utaishia kuona umaili wake wa kuandika mail nzuri, kuchati kwa speed na kujaza profile yake sifa za uongo na picha fake kama yaliyokukuta. kwa hiyo utafutapo online uwe unahitaji sifa hizi basi utapata lakini kama ni sifa za mke bora ambaye wanaume wengi uHitaji leo basi andika maishani neno "NOA" Kwa watafutao wenzi wa maisha mitandaoni
Watu weupe {wazungu} na nchi baadhi za afrika hutumia online dating ku-earn money toka kwa wanaume waroho na wenye tamaa, wengine hufanya kuendeleza shughuli zao za ualifu wa mitandao (Cyber crime).
Tanzania kuna warembo kibao kila kona wenye sifa njema (uzitakazo) kazini, chuoni, mtaani kwenu, mtaa wajirani, rafiki yake rafiki yako, mtoto wa shangazi jirani na kwa wifi/shemeji hapo pia yupo mmoja, au nako hujaona? Natia Shaka!
Naomba kuwakilisha