Wanawake wa Online Dating Mbona Waongo??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wa Online Dating Mbona Waongo???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by VUVUZELA, Aug 23, 2011.

1. VUVUZELA

VUVUZELA JF-Expert Member

#1
Aug 23, 2011
Joined: Jun 19, 2010
Messages: 3,106
Likes Received: 11
Trophy Points: 135
Siko hapa kuwakebehi wanawake ama dada zetu lakini hii habari ni ya ukweli na iko-based na my own personal experience huko ughaibuni na kwa sasa hapa Dar. Nimejaribu mara kadhaa kutafuta rafiki kwaajili ya dating then kama chemistry ipo na tuna-click basi sitosita kuendelea kumpenda ambaye tutapatana ili eventually tufunge ndoa na nitulizane na mwenza wangu ili tuendelea na safari ya maisha.
Baada ya kuwasaka akina dada wa mitaani/makazini/makanisani na miskitini etc. bila mafanikio nikaona sasa nihamie online dating, ambako nimekutana na wanawake wa aina mbalimbali lakini tatizo wanawake wengi wa mtandaoni sio wakweli.
Utakuta mtu kaweka kwenye profile picha yake nzuri anapendeza na anavutia. Lakini tukikubaliana tuonane nakuwa nabaki mdomo wazi.
1. Unakuta kwanza hiyo picha kumbe ni ya zamani alipokuwa bado umri haujaenda na akitokea unakuta umri umekwenda
2. Mdada ni mnene zaidi transforma wakati alisema kwenye profile yake kuwa maumbile yake ni slim/average.
3. Anadai ktk profile yake kuwa ni mrefu kumbe ni mfupi. n.k.

Nimeshakutana na wadada 13 (8 ughaibuni 7 hapa hapa Dar) na mara zote nimepoteza muda wangu na pesa zangu kwaajili ya hizi dates na kuambulia kulipia gharama za dinner, wine, taxi etc at expensive restaurants.
Swali:
1.Je wanawake wanaotafuta wapenzi online ni wale ambao hawavutii kimaumbile na wako desperate?
2. Kwa nini akina dada hawako wakweli ktk online profiles zao? mnaweka picha za zamani, mnadai wembamba kumbe wanene?

2. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#2
Aug 23, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,822
Likes Received: 22,467
Trophy Points: 280
mtu yeyote anaetumia mda mwingi online wakati sio sehemu ya kazi yake basi ana tatizo la ku connect
na watu in real world.....

kabla hujaanza wakosoa hao wanawake...
anza kujitazama vizuri........
kwa nini una deal na online women zaidi?
je wale unaowaona na kuvutiwa nao,ukijaribu inakuwaje??????

3. VUVUZELA

VUVUZELA JF-Expert Member

#3
Aug 23, 2011
Joined: Jun 19, 2010
Messages: 3,106
Likes Received: 11
Trophy Points: 135
The Boss, kama nilivyoeleza ktk thread yangu kuwa nimehangaika kwenye real world bila mafanikio kwa hiyo nikaona sasa nhamie mtandaoni labda ndio bahati yangu iko huko, lakini duu! yani nimepoteza muda na pesa.
Kwenye real world nimekutana na wanawake lakini sijafanikiwa kukutana na wife material women

4. Kaunga

Kaunga JF-Expert Member

#4
Aug 23, 2011
Joined: Nov 28, 2010
Messages: 12,591
Likes Received: 801
Trophy Points: 280
Nmh
U want a blind date u get a blind person! Wewe ulishaona nani anajiona si mzuri!
Si mnadanganywa na testimony! Tafuta mke phisically! Ukishindwa bora uwe padre! LOL

5. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#5
Aug 23, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,822
Likes Received: 22,467
Trophy Points: 280
wife material ndo wakoje?
binafsi naamini kama mwanamke sio sex worker basi anaweza
kuwa wife material....unaenda nae taratibu mpaka anaelekea....
mchagua jembe sio mkulima
pengine ungepunguza kuchagua......

6. VUVUZELA

VUVUZELA JF-Expert Member

#6
Aug 23, 2011
Joined: Jun 19, 2010
Messages: 3,106
Likes Received: 11
Trophy Points: 135
Nimekupata mkuu!

7. Nyani Ngabu

Nyani Ngabu Platinum Member

#7
Aug 23, 2011
Joined: May 15, 2006
Messages: 73,655
Likes Received: 35,416
Trophy Points: 280
8+7=15 na siyo 13!!

Na wewe je? Ni kwamba uko desperate au huvutii kimaumbile? Manake na wewe umetafuta mtandaoni vilevile.

8. VUVUZELA

VUVUZELA JF-Expert Member

#8
Aug 23, 2011
Joined: Jun 19, 2010
Messages: 3,106
Likes Received: 11
Trophy Points: 135
The Boss, wife material ni mtu na heshima zake ambaye yuko tayaru ku-settle na sio mpiga maisha, kuna baadhi nimeshaenda nao taratibu kama unavyosema huku nilikuwa na matumaini kuwa labda baada ya muda taratibu atabadilika na kuwa wife material, matokeo yake boooom! unashttukia miaka 2 imetimia na hakuna dalili za yeye kubadilika. Unamwaga sera wazi jibu unapewa kuwa oooh sijui siko tayari kwa kuwa mke. Nimekuwa naamua kuanza upya kwingine. Mwisho ndio nikaona ngoja niingie mtandaoni tena ndio hayo naishia kukutana na waongo

9. VUVUZELA

VUVUZELA JF-Expert Member

#9
Aug 23, 2011
Joined: Jun 19, 2010
Messages: 3,106
Likes Received: 11
Trophy Points: 135
Haya mkuu asante kwa kunisahihisha hizo numerali. 8+7 ni 15
Mimi ni kijana mtanashati, urefu wangu ni 6'2, na niko physically in a very good shape sio mnene wala sijakondeana sababu ya gym na kuzingatia nini ninakula

10. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#10
Aug 23, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,822
Likes Received: 22,467
Trophy Points: 280
[TABLE]
[TR]
[TD="colspan: 3"]'Sijaona Mwanamke Anayenifaa' - Afunga Ndoa Akiwa na Miaka 99[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #e1e1e1"]
[TD]
[​IMG]
Gilbert Herrick mwenye umri wa miaka 99 akifunga ndoa na mpenzi wake Virginia Hartman mwenye umri wa miaka 86[/TD]
[TD] Saturday, June 25, 2011 3:54 AM
Mwanaume mmoja wa nchini Marekani ambaye alikuwa akidai kuwa hataoa mwanamke mpaka pale atakapompata mwanamke mwenye sifa anazozitaka, alisubiria miaka zaidi ya 70 hadi juzi alipofanikiwa kumpata mwanamke mwenye sifa anazozitaka na hatimaye kufunga ndoa kwa mara ya kwanza akiwa na umri wa miaka 99.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3"] 'Sitaoa mpaka nitakapompata mwanamke mwenye sifa ninazozitaka", alikuwa akisema Gilbert Herrick enzi za ujana wake.

Gilbert hakujua kama ngoja ngoja yake ingeweza kumfanya afunge ndoa kwa mara ya kwanza akiwa na umri wa miaka 99.

Kwa mara ya kwanza katika maisha yake, Gilbert amefanikiwa kufunga ndoa baada ya moyo wake kumzimikia mjane mwenye umri wa miaka 86, Virginia Hartman.

"Sikuwahi kumpata mwanamke mwenye sifa ninazozitaka mpaka nilipokutana na Virginia", alisema babu Gilbert.

Gilbert ambaye alikuwa mwanajeshi wa Marekani kwenye vita ya pili ya dunia alikula kiapo cha kumpenda na kumtunza mpaka kifo kitakapowatenganisha yeye na mkewe Virginia ambaye alikuwa ni mjane mwenye watoto watano, mjukuu mmoja na kitukuu mmoja.

Ingawa Gilbert na mkewe wote wawili hawana tena uwezo wa kutembea wakitembea kwa kutumia baiskeli za vilema, hawakujivunga kuingia ukumbini kufungua dansi kwa muziki nyororo wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika jijini New York.

Alipoulizwa sababu ya kuamua kuoa sasa baada ya kuishi miaka mingi bila kuoa, Gilbert alijibu kwa kifupi "Mapenzi ya kweli".[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

11. VUVUZELA

VUVUZELA JF-Expert Member

#11
Aug 23, 2011
Joined: Jun 19, 2010
Messages: 3,106
Likes Received: 11
Trophy Points: 135
Mkuu umri wangu ni miaka 33, sidhani kama nitaishi hadi kufikia miaka 99

12. Nyani Ngabu

Nyani Ngabu Platinum Member

#12
Aug 23, 2011
Joined: May 15, 2006
Messages: 73,655
Likes Received: 35,416
Trophy Points: 280
Kwa vile hadithi hii ni ya upande mmoja nitajizuia kuhitimisha.

13. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#13
Aug 23, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,822
Likes Received: 22,467
Trophy Points: 280
mkuu naona tatizo lako ni kuwa uko desparate hivi
wanasema a good partner atakuja when you are not looking........

14. Kaunga

Kaunga JF-Expert Member

#14
Aug 23, 2011
Joined: Nov 28, 2010
Messages: 12,591
Likes Received: 801
Trophy Points: 280

I think he is too picky? Halafu hataki kujievaluate yeye, possibly na wanawake wanamuona he is not hussie material! Kuna jamaa tuko naye job he is approaching 40, anatafuta right wife, gear anazoingilia zinawakimbiza wadada!

Tatizo liko kwako, usiassume na wala usitake wanawake for granted!

15. VUVUZELA

VUVUZELA JF-Expert Member

#15
Aug 23, 2011
Joined: Jun 19, 2010
Messages: 3,106
Likes Received: 11
Trophy Points: 135
Siko desperate kiasi hicho na wala siko picky, ila siwezi ku-compromise baadhi ya principles na preferences zangu ambazo kila mtu anazo

16. VUVUZELA

VUVUZELA JF-Expert Member

#16
Aug 23, 2011
Joined: Jun 19, 2010
Messages: 3,106
Likes Received: 11
Trophy Points: 135
I'm not picky, mkuu! Nieshajifanyia sana self evaluation na niko fine tuu. I don't take any woman for granted

17. Kaunga

Kaunga JF-Expert Member

#17
Aug 23, 2011
Joined: Nov 28, 2010
Messages: 12,591
Likes Received: 801
Trophy Points: 280

Good for u! Then stop looking so hard! Utampata au atakupata kiulaini, n u will come here to testify!

18. Kaunga

Kaunga JF-Expert Member

#18
Aug 23, 2011
Joined: Nov 28, 2010
Messages: 12,591
Likes Received: 801
Trophy Points: 280

Do the women u dated think 'uko fine'? Pass them a questionairre! Or rather kama una best girlfrien (sio lover) mwambie akupe strength na weakness zako!

19. afrodenzi

afrodenzi Platinum Member

#19
Aug 23, 2011
Joined: Nov 1, 2010
Messages: 18,135
Likes Received: 2,398
Trophy Points: 280
duhhh pole

20. VUVUZELA

VUVUZELA JF-Expert Member

#20
Aug 23, 2011
Joined: Jun 19, 2010
Messages: 3,106
Likes Received: 11
Trophy Points: 135
They said I was fine, they wanted me to date them and just party, but they were not interested in settling down, get married and become wives

Loading...