Wanawake wa module pasua kichwa

Wanawake wa module pasua kichwa

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,850
Nilikuwa nasikia kwamba wanawake ambao wamesoma hawaoleki nabisha ila sasa nimeamini ni wabishi, wajuaji hawapendi kukosolewa na wana kujivuna sana bora kuoa binti wa kawaida ambae amepiga div 5 yake unajichagulia wife material safi lakini hawa wa module,supp, semister siwawezi kabisaaaaa.
 
Ngoja waje....jamani eeee #Lara1 , #Farkhina #Mimi49 , #Ladyfuraha , #Munkari , #Faiza fox na wengine njoooni hukuuu
 
kaka usiogope module! hawa watu mwalimu wao mmoja na alishatangulia mbele ya haki siku nyiiiingi
 
Mwanamke ata awe rais hana cha kumtisha mwana nne labda amkute boya mwenzake lakin kwa anaejitambua akileta mashauz achape lapa niache kuyabembeleza maisha nibembeleze papuchi mtaan kibao zipo!
 
Aisee haya maneno ya mtoa mada kama kakopi kwa mtu wangu.
 
Umenikosha kwa jibu murua ulilompa. Mtu anayejielewa na kujiamini hawez hata siku moja akatishika na visasi vya kipumbavu.
Alivyojibu kwa mbwembwe bila hoja mm naona anapigia mstari maneno ya mahkaji tu
 
ishi na mwanamke kwa akili haijalishi yuko level gani....ukiijua nafasi yako kama mwanaume hawa watu hawapindui mm napenda wanawake wenye kujiona wana uwezo mkubwa nazipenda sana changamoto zao .
 
ishi na mwanamke kwa akili haijalishi yuko level gani....ukiijua nafasi yako kama mwanaume hawa watu hawapindui mm napenda wanawake wenye kujiona wana uwezo mkubwa nazipenda sana changamoto zao .
Mkuu kuna wanawake wenye "kujiona" wana uwezo mkubwa na kuna wanawake ambao actually "wanao" uwezo mkubwa. Hao wawili wana tofauti....
 
Back
Top Bottom