fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,749
- 7,458
hapa ndipo tunapokosea kwakuwa pesa unampa basi mwanamke afanye kila kituEeenh mbona hela nampa?!!
hapa ndipo tunapokosea kwakuwa pesa unampa basi mwanamke afanye kila kituEeenh mbona hela nampa?!!
😀😀😀 gusa achia au sioGusa achia, hit & run..acha ufala.
Kama unaona ni mtoto wa upanga mjipangeHabari za muda wadau, nimekaa nikiwa nafikiria sasa naona niseme tu haya mambo yanayonisibu. Kuna mwanamke ninae as nina date nae ila naona tabia zake kama sio.
Yeye akija kwangu hata kufanya usafi hakuna, kupika hakuna ila chakula mnakuwa mnanunua tu tena kwa bei kubwa sana ila pia vizinga anakupiga vya kutosha tu.
Sasa najiuliza ni biashara tunafanya au ndo wanawake wa mjini.
Natamani kumwacha ila ni mrembo sana ila ndo hivyo
We ni baba ake? 😁Eeenh mbona hela nampa?!!
Naomba unisaidie laki hapoSio baba yake ila ni kwamba tunasaidiana
Hilo jini fukuzia mbaliHabari za muda wadau, nimekaa nikiwa nafikiria sasa naona niseme tu haya mambo yanayonisibu. Kuna mwanamke ninae as nina date nae ila naona tabia zake kama sio.
Yeye akija kwangu hata kufanya usafi hakuna, kupika hakuna ila chakula mnakuwa mnanunua tu tena kwa bei kubwa sana ila pia vizinga anakupiga vya kutosha tu.
Sasa najiuliza ni biashara tunafanya au ndo wanawake wa mjini.
Natamani kumwacha ila ni mrembo sana ila ndo hivyo
Hii sasa 👇👇ndio silaha pekee aliyo nayo na imeteka utawala wakoYeye akija kwangu hata kufanya usafi hakuna, kupika hakuna ila chakula mnakuwa mnanunua tu tena kwa bei kubwa sana ila pia vizinga anakupiga vya kutosha tu.
Natamani kumwacha ila ni mrembo sana ila ndo hivyo
Workmate. Evelyn SaltAkufanyie usafi, apike.....we hauna mikono???
Kwan akifanya kuna shida gan?sasa mnadate tu unataka afanye mambo ya mke jamani😂
Eniwei endelea kumvumilia we si umependa urembo
Piga chini huyo ,mwanamke wa kuoa utamjua tu matendo yake lakini huyo kesha kuonesha hafai ni wa kutafuna na kupitaHabari za muda wadau, nimekaa nikiwa nafikiria sasa naona niseme tu haya mambo yanayonisibu. Kuna mwanamke ninae as nina date nae ila naona tabia zake kama sio.
Yeye akija kwangu hata kufanya usafi hakuna, kupika hakuna ila chakula mnakuwa mnanunua tu tena kwa bei kubwa sana ila pia vizinga anakupiga vya kutosha tu.
Sasa najiuliza ni biashara tunafanya au ndo wanawake wa mjini.
Natamani kumwacha ila ni mrembo sana ila ndo hivyo
OaWorkmate. Evelyn Salt
Uzungu usiwaingie sana nyinyi wanawake wa Kiafrika.
Jamaa anasema anamuhudumia kwa vitu vingi. Hivyo mwanamke kwa akili ya kawaida anatakiwa awe humble na afanye majukukumu mengine ya kinyumban kumsaidia mpenzi wake.
Hata kama anafanya white color Job na anachoka, haijalishi . Ni vyema mwanamke akamjali mpenz wake kwa kuweka mazingira sawa .
Nashaur umwambie na ukiona habadiliki, bas ww kula tu mbususu enjoy na mwite siku ukiwa na hela. Siku huna kausha.
Mungu atakupa Mke mwema huko mbelen.
Pengine huyo kapangiwa wanaume wengne kama kina mzabzab wamumfundishe 😂😂😂