Wanawake wa mjini, sijui nifanye nini! Ushauri

Habari za muda wadau, nimekaa nikiwa nafikiria sasa naona niseme tu haya mambo yanayonisibu. Kuna mwanamke ninae as nina date nae ila naona tabia zake kama sio.

Yeye akija kwangu hata kufanya usafi hakuna, kupika hakuna ila chakula mnakuwa mnanunua tu tena kwa bei kubwa sana ila pia vizinga anakupiga vya kutosha tu.

Sasa najiuliza ni biashara tunafanya au ndo wanawake wa mjini.

Natamani kumwacha ila ni mrembo sana ila ndo hivyo
Vipi ukienda KWAKE hali ni hiyo hiyo?
 
Wewe endelea kukomaa kwa kigezo cha urembo siku ukifilisika mazima akukimbie ndo akili zitakukaa sawa
 
Kwan akifanya kuna shida gan?

Mbona jamaa anafanya majukumu ya mume kwa huyo mpenz wake.

Sasa ukitoa hiyo K kuna nn anaoffer kingne?,

Wanawake mjiongeze. Unless kama hamna future ya hao wanaume mnaodate nao. Mko kimaslahi. Na kupotezeana Muda ledada
Hahaa tatizo ukianza kufua unakuwa mfuaji kila unapopata mpenzi mpya😂😂😂 ni majinzi.. humu tu 🧺
 
Habari za muda wadau, nimekaa nikiwa nafikiria sasa naona niseme tu haya mambo yanayonisibu. Kuna mwanamke ninae as nina date nae ila naona tabia zake kama sio.

Yeye akija kwangu hata kufanya usafi hakuna, kupika hakuna ila chakula mnakuwa mnanunua tu tena kwa bei kubwa sana ila pia vizinga anakupiga vya kutosha tu.

Sasa najiuliza ni biashara tunafanya au ndo wanawake wa mjini.

Natamani kumwacha ila ni mrembo sana ila ndo hivyo
wote wapo hivo mkuu aisee ila ni kama hawana mapenzi wamefuata pesa tu ...niloshaongea sana na demu wangu hii tabia lakini wapi
 
Hahaa tatizo ukianza kufua unakuwa mfuaji kila unapopata mpenzi mpya😂😂😂 ni majinzi.. humu tu 🧺

Shem habar za ww.😂😂😂😂.

Hauend kila siku. Mwanaume asikuzoee na asikuone mrahisi.

Ila siku ukienda ufanye ile nyumba kama yako.

Kama anakuhitaj atakuoa. Ila kama ushafanya mara 2 tatu na yeye hauni basi unaacha.

Asikuchukulie for granted.

Ila Kwenda kwa mwanaume wako alaf haushughuliki na chochote zaid ya Sex. Ni tatizo. Utatumika sana. Labda kama unafuata hela tu na hauna mapenz nae.
 
Shem habar za ww.😂😂😂😂.
Nzuri shem😃
Hauend kila siku. Mwanaume asikuzoee na asikuone mrahisi.
Hapo ndipo mnakosea, kama tunapendana asinizooeje sasa
Ila siku ukienda ufanye ile nyumba kama yako.
Siwezi
Kama anakuhitaj atakuoa. Ila kama ushafanya mara 2 tatu na yeye hauni basi unaacha.
Sifanyi kitu ili niolewe nafanya kitu kwa mapenzi tu, practice za kuishi na mtu zinaanza hivi, ukifanya ili upate kitu ata kwenye hiyo ndoa uta expect too much na usipopata utakuwa disappointed vibaya!
Asikuchukulie for granted.

Ila Kwenda kwa mwanaume wako alaf haushughuliki na chochote zaid ya Sex. Ni tatizo. Utatumika sana. Labda kama unafuata hela tu na hauna mapenz nae.
My point is, ukidate na mtu sio ndoa, kwahiyo kufanya majukumu ya mke ili uolewe ni kujipa stress tu, fanya kama mtu asiyependa kuona uchafu au kama mtu aliyefunzwa vzr basi, na issue ya kufanya kama majaribio ili uone kama atakuoa au la utafua nyumba hadi nyumba kwa sababu utamuona hayuko serious utahamia kwa mwingine naye utakuta old shit unazokimbia uki expect different results on same shit..
 
Nimekuelewa Shem.

Hasa hapo kufanya kama umefunzwa vizur na hautarajii ndoa.
Maana ndoa ni majaliwa.

Sasa utakuta Mwanamke ana date na mtu wake na hafanyi hayo.

Kabla ya kuoa tunaangalia vitu ving sana. Kimoja wapo ndio hiko.

Nina kaka yangu aliishi na mwanamke na akazaa nae mtoto 1 ila alimuacha ndan ya mwaka 1 na mwaka huo huo akaoa.
Sababu aliyotuambia ni kuwa mwanamke ni mchafu.
Tukamuuliza kivipi.
Akatoa maelezo ming tu ila all ni all ni vitu ambavyo angekuwa mwanamke mwingne angemudu kufanya..
 
Nimekuelewa Shem.
bora unaelewa shem
Hasa hapo kufanya kama umefunzwa vizur na hautarajii ndoa.
Maana ndoa ni majaliwa.
Si ndio
Sasa utakuta Mwanamke ana date na mtu wake na hafanyi hayo.
Na sio lazima, kuna wanaume wachafu over na hawajali ukifika mnaliunga wote kuwa wachafu😃
Kabla ya kuoa tunaangalia vitu ving sana. Kimoja wapo ndio hiko.
🫡
Nina kaka yangu aliishi na mwanamke na akazaa nae mtoto 1 ila alimuacha ndan ya mwaka 1 na mwaka huo huo akaoa.
Sababu aliyotuambia ni kuwa mwanamke ni mchafu.
Tukamuuliza kivipi.
Akatoa maelezo ming tu ila all ni all ni vitu ambavyo angekuwa mwanamke mwingne angemudu kufanya..
Kuwa msafi pia ni kipaji sio kila mtu anaweza.. pole yake aisee
 
Na sio lazima, kuna wanaume wachafu over na hawajali ukifika mnaliunga wote kuwa wachafu😃

Ni kweli. Unakuta wamekutana wote wavivu na wachafu.

Unakutana na boy wako . Boxer anavaa wiki 1. Inanuka pmubu balaa.
Yaan akiivua tu , boxer inasimama 😁😁😁

Sasa kama huyu utaanzia wap kumuweka sawa.
 
Wiki jamani, inasimama kama chapati ilokosa mafuta, siipendi hiyo harufu na wanang’ang’anizaga haoo BeBi niny@nyee🤢🤮

😂😂😂😂😂 dah!
Utu na kazi.
Uwe na siku njema Shem.
 
Solution?
Tafuta hela KIHALALI, achana nawo mdau...
 
Huyo ni slay queen anatakiwa kutunzwa namna hiyo, anataka umletee housegirl atakayefanya kazi zote yeye ni kugawa uroda tu na kupendeza kujipost insta na tiktok kama unaona mnaendana mtimizie matakwa yake uishi naye, kama unaona hamuendani fanya maamuzi.
 
Natamani kumwacha ila ni mrembo sana

Hapo tu ndo mnakoseaga huo urembo wake wewe kama wewe unakuongezea Nini kwenye maisha Yako ya kawaida
 
Habari za muda wadau, nimekaa nikiwa nafikiria sasa naona niseme tu haya mambo yanayonisibu. Kuna mwanamke ninae as nina date nae ila naona tabia zake kama sio.

Yeye akija kwangu hata kufanya usafi hakuna, kupika hakuna ila chakula mnakuwa mnanunua tu tena kwa bei kubwa sana ila pia vizinga anakupiga vya kutosha tu.

Sasa najiuliza ni biashara tunafanya au ndo wanawake wa mjini.

Natamani kumwacha ila ni mrembo sana ila ndo hivyo

Mpe mimba, akili itakaa sawa ...au wewe siyo first choice Kuna first choice anayepikiwa na hagharamii...kumbuka imeandikwa ishi nao kwa kutumia akili

Mpelekee moto, halafu piga chini, usiweke kibanda utakuja just na majuto ni mjukuu
 
Habari za muda wadau, nimekaa nikiwa nafikiria sasa naona niseme tu haya mambo yanayonisibu. Kuna mwanamke ninae as nina date nae ila naona tabia zake kama sio.

Yeye akija kwangu hata kufanya usafi hakuna, kupika hakuna ila chakula mnakuwa mnanunua tu tena kwa bei kubwa sana ila pia vizinga anakupiga vya kutosha tu.

Sasa najiuliza ni biashara tunafanya au ndo wanawake wa mjini.

Natamani kumwacha ila ni mrembo sana ila ndo hivyo
Sasa kwanini usimwambie hoja zako? Ukileta hapa hutapewa majibu sahihi
 
Back
Top Bottom