Wanawake wa Milenial bana...

Wanawake wa Milenial bana...

Sio lazima ajute. Ukute ameona jamaa sio husband material . Kazi yake kujimwambafai tu mara anapanda miti sijui anawapa ofa ya bia baba na ndugu zake.
Bora abakie na mume wa mtu anae muweka mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
Nothing is "MWAMBAFAILISING"
Hizi nyengine ni SUPPORTING DOCUMENTS tu za MADA YANGU.

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uishi naye kwa akili huku unajua anatoka na fulani? huu unaitwa UBAZAZI. hata mkeo atasaliti utasema naishi nae kwa akili

Sent using Jamii Forums mobile app
Mke ni Another factor.

Nazungumzia hawa wa TAMAA MBELE.

Akitaka hela MPE ila kula sanaa PAPUCHI.

Ukihisi game ngumu FUKUZIA MBALI.

Malay* ishi nae kimalay*..!!!

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oa Bikra utakuja kunishukuru.

Mwanamke asiye na bikra kumuoa ni kutaka kuitukana ndoa kwa upuuzi wako
 
Mungu ndiyo hupanga...

Maisha uliyokua nayo siyo yako bali ni kwa sababu ya uwezo wake...

Cc: mahondaw
Basi huyo Mungu atakuwa mbaguzi mno maana ananipa umaskini halafu bado nikifa ananichoma moto na wakati anagenipa utajiri ningeshafanya mema mengi mno.
Ina maanaisha binadamu hatuna free will! Yaani ni kama midoli flani tunachezeshwa na huyo Mungu.

(I do not intend to blaspheme).

Kila jambo lina sababu zake...

Pengine ungepewa utajiri ungeangamiza wenzako kwa kukosa maarifa...

Cc: mahondaw
 
Sio lazima ajute. Ukute ameona jamaa sio husband material . Kazi yake kujimwambafai tu mara anapanda miti sijui anawapa ofa ya bia baba na ndugu zake.
Bora abakie na mume wa mtu anae muweka mjini
na mwambie Liverpool_Jr aachane na mitungo, kuchangia na huyo mume wa mtu mwenye watoto wakati yeye hajaoa atajakutana na GONOcocous litakalomtesa mpaka hiyo miti aliyopanda itakauka bora Corona
Mm siwezi changia na hivi vitoto vinavyokupa eti leo zamu yako nimekuhurumia tena bila condo
 
Back
Top Bottom