Wanawake wa Milenial bana...

Wanawake wa Milenial bana...

Mkuuuu sasa umeamua ku mfanyaje tuu
Niliacha kazi serikalini mwaka 2016
Nikaamua kuzunguka mikoa ya baridi kupanda miti ya matunda (Napenda INVESTMENT kuliko BIASHARA).

Sasa bana mvua za msimu huu wa 2019/20 nimeamua kupiga kambi mkoa fulani. Napanda miti ya mbao na matunda (parachichi).

Katika harakati zangu za kutafuta resource za uwekezaji wangu nikakutana na mtoto mzurii.
Ni mweupe, ana chura ya wastani, sura ipo. Kifupi mbele ya macho yangu ""EXTERNAL STRUCTURE IMEKAMILIKA..!!""

Nikaamua kumspy kupitia kwa VIBARUA WANGU WA SHAMBA.

Bahati nzuri huku kijijini huoana wao kwa wao then WANAJUANA VIZURI SANAA hawa watu.

RAIA zikanipa feedback zotee nilizozitaka...

Sasa bana mi nikamtufuta na kumtongoza.

Alinielewa na nikawa na kula mzigo vizuri tu kila nitakavyo...

SIJAOA, Then nikamuelewa, nikaamua kuanza kufanya official..!!!!
1. Baba na babu yake nawapa sana ofa za visoda na vibia..!!
2. Ninajuana na baadhi ya ndugu zake, na wengine huja kuomba vibarua shambani.
3. Kifupi kwao WASHAJUA NIKO NA MTOTO WAO.

Dah ETI JUZI TUMEACHANA.

Kisa hasa cha kuachana ni MUME WA MTU...!!

Huyu dada alikuaga na urafiki na mume wa mtu, Huyo mume kamsaidia SANAA miaka ya nyuma.
Kampa mtaji, anampendezesha mjini... Kifupi MUME WA MTU ALIGHARAMIA japo siku hizi kulingana na hali taiti za mzee magu Kapunguza Transaction amount..!!

Na sababu hasa ya kuachana Mimi na yeye ni kwamba mi nilimzingua....
""Achana na mume wa mtu, Huo ukaribu uliokua nae SANAA hakuna mwanaume anaeweza kukubali ukaribu huo, tena wa mpaka kushikana kiuno na mume wa mtu eti kisa ni RAFIKI yako MMETOKA MBALI""

Alijibu ""Siwezi kumuacha kama huwezi kuwa na Mimi huku nikiwa nae basi poa tuachane""

Dah Mr. Liverpool nimemuonea sanaa huruma, nikaamua kumpa somo.....

1. Yule ni mume wa mtu na mkewe yuko mbali (mke na mume wanafanyakazi mikoa tofauti) ipo Siku watakua karibu tu.

2. Jamaa ni mkristo hivyo hawezi kuoa mke wa pili, atakufanya tu mchepuko.

3. Awe rafiki yako sawa ila achana na ukaribu nae, ili na wewe upate wako. Sijakunyima kuwa rafiki yako, ila punguza ukaribu nae wa mpaka kujifungia nae chumbani eti mnapiga story, kutoka out, kuongoza kila mara kama mumeo.

Alichonijibu ""SIWEZI NALIPA FADHILA""

Dah kilichoniuma sio ile kuniambia TUACHANE ila eti ANALIPA FADHILA HAWEZI KUMUACHA.

Nimemuonea sanaa huruma huyu dada na ukicheka dada ana miaka 25...
Yaani hajui kwamba anapaswa awe na wake waje kuoana??

Cha ajabu:-
Jana kanitumia SMS ""Kesho nakuja kulala kwako nimekumiss""

Kashasahau siku kadhaa zilizopita aliniambia ""Siwezi kuachana nae (mume wa mtu) bora tuachane na wewe Mr. Liverpool, Mimi na wewe hatuendani wewe una wivu sanaa""

Mabaharia TUCHAKATE TU HIZO PAPUCHI.... ILA KUOA DUUH NOMAA..

Mwanamke kama huyu hata ukimuoa HUYU MUME WA MTU ATAMCHAKATA SANAAA...

Namuonea sanaa huruma BAHARIA ATAKAE KUJA KUMUOA HUYU DADA, lazima ata share PAPUCHI na huyu mume wa mtu...!!!

Madada sometimes WANAUME TUKO REAL ila mambo yenu ndio yanatuangusha.

Mi huyu dada NILIMUELEWA SANAA, Na nilimuelimisha na kushauriana sanaa juu ya maisha yake ila haelewi...

Sasa nilichoamua ni KUMT*MBA TUUU.

Maana soon namaliza kupanda miche yangu nihame mkoa..!!!

Na hii CORONA ndio inataka Liverpool tukose ubingwa..!!!

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa kumkomesha nenda na mwanamke mwingine uone kama hana wivu
hiyo ndio tiketi ya kuachana naye
hiyo kitu ni elastic haibani mbele ya kibamia atakulilia uongo tu
 
Dawa ni kuoa bikra tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Listen Bro, Always be very selfish with your time and resources especially when women are involved. The only person who has your back is you, so never hesitate to walk away from a situation where you're being exploited and aren't getting value, whether it be a job, business, relationship or marriage.

She's even disrespecting you according to what you wrote here,

Jana kanitumia SMS ""Kesho nakuja kulala kwako nimekumiss""

Kashasahau siku kadhaa zilizopita aliniambia ""Siwezi kuachana nae (mume wa mtu) bora tuachane na wewe Mr. Liverpool, Mimi na wewe hatuendani wewe una wivu sanaa""

The game is cold and only cold-hearted guys win. Learn to be cold like women, women are the coldest creatures on God's green earth. Be colder than women, na mtaacha kuteta haya manyanga ya ajabu kuhusu wanawake hapa JamiiForums.
Deep sana hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekumbana na bazazi la kike hapo, analipa fadhila hivyo acha tu mume wa mtu aichakate punani. "Waume za watu" huwa wanazichakata bila huruma aisee na kuna watu unaweza kudhani wapo duniani kuwa kiburudisho kwa wengine au mkuu kuna kitu huyo jamaa anamfanya wewe umeshindwa kabisa kutoa/kujua codes. Kumbuka tu micheps ndio wanaume wanajifunzia kufanya yale wasiyofanya na wake zao
 
Back
Top Bottom