Wanawake wa Mikoani mkoje?

Wanawake wa Mikoani mkoje?

Hiyo research yako umeifanyia wapi? sample yako ilikua ni wanawake wangapi na kwa mikoa mingapi na ni mikoa ipi? naona umekuja na conclusion ya kuwajumuisha wanawake wote wa mikoani,bila shaka ulifanya research.
Akikujibu nitag
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila wanawake wa Darisalama wajanja sana, kuna kamchepuko kamoja kalikua kanaenda mkoani kwenye mechi ya ugenini, wakati wa kurudi kanajifanya hakana nauli nikatumie (sikumbuki kama niliwahi kutuma).
Kumbe na wewe unachepukaga?[emoji848]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila wanawake wa Darisalama wajanja sana, kuna kamchepuko kamoja kalikua kanaenda mkoani kwenye mechi ya ugenini, wakati wa kurudi kanajifanya hakana nauli nikatumie (sikumbuki kama niliwahi kutuma).
Aisee, kwani kuna mahali nimesema hivyo?
Ina maana siku hizi sina kabisa uelewa hata kwa mambo madogo kama haya
 
Back
Top Bottom