Unaweza. Utalipa ikikufikia.Hivi unaweza uka oder pizza bila kuilipia mkuu?
Kama huna hata alfu tano ya kukupeleka benki, ninawasiwasi hata kadi yako ya benki ishaliwa na panya hivyo haitafanya kazi.Ewaaah, nitumie basi ulfu tano ili niwahi hapo benki nikachukue hiyo nauli, usihofu fedha yako naunganisha na hiyo nauli bila kusahau riba ya 30%.
Hapana hawaombiKwani wanawake wa Dar wakitaka kuja mikoani hawaombi kutumiwa nauli?![]()
Nauli tu? Hakuwa na njaa? Simu yake haikupasuka kioo? Kodi yake ya nyumba haikuisha?Wanawake wa mikoani mkoje kwa nini mkitaka kwenda Dar mnaomba mtumiwe nauli??
Inaelekea wewe unayajua majukumu yako, ngoja nitakutafutaNauli tu? Hakuwa na njaa? Simu yake haikupasuka kioo? Kodi yake ya nyumba haikuisha?
Hahaha hata kama ume oda online?Unaweza. Utalipa ikikufikia.
Hao ni wanaume wenzio wanataka kukupiga wazfa, mwanamke wa mkoani hatoki kwao kabla hajalipiwa mahari.






yaani wanaume wa dar wanavutaga bangi ajabu hata haiwasaidii kuchanganua Mambo.Apia!Hapana hawaombi

Saaa unataka watembee kwa miguuWanawake wa mikoani mkoje kwa nini mkitaka kwenda Dar mnaomba mtumiwe nauli??
Kwa chura ulilonalo unastahili nauli ya mtaa kwa mtaa mpenzi!Unaongelea mkoa kwa mkoa mkuu? mimi hata mtaa kwa mtaa tu nataka nitumiwe nauli



Yeap....kuna 'pay on delivery' option.Hahaha hata kama ume oda online?
Aisee tatizo lako una dharau sana, utakosa bahati hivi hivi, we tuma hiyo ulfu tano uone maajabu.Kama huna hata alfu tano ya kukupeleka benki, ninawasiwasi hata kadi yako ya benki ishaliwa na panya hivyo haitafanya kazi.
Yapi hayo? Funding your lifestyle is NOT my business!Inaelekea wewe unayajua majukumu yako, ngoja nitakutafuta
Mkuu leo tunazungumzia wanawake wa mkoani, wanaume wa darisalama mtupumzishe kidogo.yaani wanaume wa dar wanavutaga bangi ajabu hata haiwasaidii kuchanganua Mambo.
Hiyo ulfu tano bora niizungushe kwenye biko/tatu mzuka au mkeka kuliko kuichezea pata potea kwakoAisee tatizo lako una dharau sana, utakosa bahati hivi hivi, we tuma hiyo ulfu tano uone maajabu.
😂😂😂😂Mkuu leo tunazungumzia wanawake wa mkoani, wanaume wa darisalama mtupumzishe kidogo.
Kwa chura ulilonalo unastahili nauli ya mtaa kwa mtaa mpenzi!![]()