Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,786
- 45,266
Labda wanaweza kununua tiketi na madebe ya mahindi...Sasa ulitaka waende kwa kutembea na miguu?
Labda wanaweza kununua tiketi na madebe ya mahindi...Sasa ulitaka waende kwa kutembea na miguu?
Sina hakika kama nimewahi kufanya kama ulivyosema, itakua umechanganya mafaili.Wewe wa kwako mbona haujarefuka japo una miaka kadhaa ukiwa umeuvuta?![]()
Leo tunaanza na chakula mixer pombe kali mpenzi!![]()
Dar es Salaam sasa hivi kuna upepo mkali sana, hivyo mnakumbushwa mnaovaa ma wigi myakaze vizuri muda wote mtakao kua kwenye jiji hili.
Kaka yangu kwenye ubora wakoKwa Sababu Wanajielewa Mkuu
By
Mwenyekiti Wa Watu Wote Wa Mkoani
Jana na leo nimevaa wig linalokaza kichwani. Maana kweli huu upepo unaweza shangaa wig limevuka hujui muda gani
Dada Yake Nilikumiss HaswaaKaka yangu kwenye ubora wako
Dola 700 tuuNitume nauli dola ngapi aje?
Nb:- Hakikisha sio mwanafunzi na asiwe na ile miaka ya uangalizi wa jamhuri.
Teh Teh TehWanajielewa wapi wakati njaaa tupu!
Dada Yake Nilikumiss Haswaa
Ratiba Itakuja Soon Maana Saivi Nafatilia Kuna Sakata La Tumepelekwa Mahakamani Kwa Kosa La Kuwaandama Ndugu Zetu Wa DaslamMwenye Kiti, vikao lini?
Nami pia nataka uwe dada yangu!Nimekuja kaka
Moyo Umejaaa Furaha Isiyo Ya Kifani Kukuona Dada YakeNimekuja kaka
Nami pia nataka uwe dada yangu!
Rafiki dada hana haja ya kuwa na chura!!......Sasa dada awe na chura ya kazi gani?Hahaaaaa tatizo unapenda churaa
Na kweliRafiki dada hana haja ya kuwa na chura!!......Sasa dada awe na chura ya kazi gani?