Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Duuh kweli siaminiki namna hii hapa duniani? yani hadi mkeka unathaminika kuliko mimi?Hiyo ulfu tano bora niizungushe kwenye biko/tatu mzuka au mkeka kuliko kuichezea pata potea kwako
Ngoja nianze ratiba ya kwenda baharini kuoga maji ya chumvi.






