VUVUZELA
JF-Expert Member
- Jun 19, 2010
- 3,103
- 786
Mkuu mwanamke aki-flash her booooobbbbbbssssss mi binafsi napenda ila inategemea time na mahali.Hivi ni kwa nini wanawake au wasichana wanavaa nguo zinazoacha matiti yao wazi?
Ni ujanja au ni ujinga na upumbavu na ukosefu wa maadili?
Mbona watanzania tunapenda kuiga mambo mabayo tu kutoka kwa wenzetu wakati kuna mambo mengi mazuri ambayo tungeiga kutoka kwa wenzetu?
Mama mzima unafurahi watoto wako wanapoangalia hayo matiti yako? Hayo matiti yako anatakiwa ayaone mume wako na wala siya ya kila mtu! Tuache upumbavu na kuiga vitu vya ajabu ajabu visivyokuwa na tija!
Dada mzima unafurahi baba yako, kaka zako au wadogo zako wanapoyaangalia hayo matiti yako? Je, unawafundisha nini? Tuache ulimbukeni kama hizo ndugu zangu!