Wanawake wa kitanzania!

Hivi ni kwa nini wanawake au wasichana wanavaa nguo zinazoacha matiti yao wazi?
Ni ujanja au ni ujinga na upumbavu na ukosefu wa maadili?
Mbona watanzania tunapenda kuiga mambo mabayo tu kutoka kwa wenzetu wakati kuna mambo mengi mazuri ambayo tungeiga kutoka kwa wenzetu?
Mama mzima unafurahi watoto wako wanapoangalia hayo matiti yako? Hayo matiti yako anatakiwa ayaone mume wako na wala siya ya kila mtu! Tuache upumbavu na kuiga vitu vya ajabu ajabu visivyokuwa na tija!
Dada mzima unafurahi baba yako, kaka zako au wadogo zako wanapoyaangalia hayo matiti yako? Je, unawafundisha nini? Tuache ulimbukeni kama hizo ndugu zangu!
Mkuu mwanamke aki-flash her booooobbbbbbssssss mi binafsi napenda ila inategemea time na mahali.

Waachane bwana!!Biashara matangazo,wakiyaficha nani atayaona?Vilevile wengine wa kuto***,hivyo wanamaliza kwa kuyakodolea macho........

Waachane bwana!!Biashara matangazo,wakiyaficha nani atayaona?Vilevile wengine wa kuto***,hivyo wanamaliza kwa kuyakodolea macho........

Mbona nyie mnavyovalia suruali zenu magotini hatusemi? Tazama mambo yatakayokuletea maendeleo sio vifua vya watu.

kwa hiyo mtu akifanya ujinga na ww unaiga!? Usihalalishe ujinga kwa ujinga labda uwe mjinga so are u mjinga!

ukipendeza kila mtu akakutazama unajiskia vizuri zaidi inakupa confidence........tunaacha wazi tukijua tutavutia attention na tunaipata haswaa!

Tusiwalaumu dada zetu jamani kwani tatizo si wao,tatizo ni vi...a vyao siku hizi viko hot mno kama milipuko ya volcano ijapokuwa hawawezi kusema huo ndo ukweli

Mama mzima unafurahi watoto wako wanapoangalia hayo matiti yako? Hayo matiti yako anatakiwa ayaone mume wako na wala siya ya kila mtu!

Mkuu..umesoma historia? Kabla hatujaiga nguo za wazungu ..kule kwetu nyanda za juu ..kina dada na kina kaka walikuwa wanaficha sehemu ya nanii tu...yaani baba mama mjomba mkwe kaka wote ni fursa kuona matiti..

Usijali mtu kavaa nini au anafanya nini na mwili wake..kwani wewe sio mdau wa mwili wake na haitakusaidia ...

Kikubwa angalia Roho ya huyo mtu na sio mwili... Anaweza akavaa unavyotaka lakini akawa mnafiki kupindukia!

ukipendeza kila mtu akakutazama unajiskia vizuri zaidi inakupa confidence........tunaacha wazi tukijua tutavutia attention na tunaipata haswaa!

Nashukuru kwa ku2pa majibu ur the best na kweli mnawatia...

Tusiwalaumu dada zetu jamani kwani tatizo si wao,tatizo ni vi...a vyao siku hizi viko hot mno kama milipuko ya volcano ijapokuwa hawawezi kusema huo ndo ukweli

embu dadavua ni vinini hivyo viko hot...hatujakupata....

ukitaka wanaovaa wamejifunika unaenda kuishi kijijini...
wamejaa tele.....
mambo ya jiji unawaachia wanaoweza ya jiji......

Du kweli tuwaacheni kina dada wajidai, ww kama kinakuuma usiwaangalie hivyo vifua vyao, huku kwetu Dom ndo wamejaa (zamani walikuwa wanavaa kaniki / bataje ntunje matombo galinjee) hasa huwezi tofautisha wanachuo au mtoto wa mtaani (vitop, vijeans na vifua wazi) acheni wajimwage wanaakili km ni mwezi Mtukufu au hapa pana Bunge au ni sokoni wanajua watavaa nini.
Mbona huku dar wanajimwaga beach na vibikini?

Kwa kweli mie naona tabu kubwa ni kutamanisha wanaume na kuendeleza tabia mbovu.

Wanaume muwe makini na mjishikilie haswa maana wanawake wengi ni kuoinyesha nini Mungu kawapa tu kujisikia raha rohoni as wengine ni kuwa ndio kivuto chao.

Mbona nyie mnavyovalia suruali zenu magotini hatusemi? Tazama mambo yatakayokuletea maendeleo sio vifua vya watu.

ahsante susy.
Hebu waache watu wavae wapendavyo. Yeye hayo mambo ya maendeleo kashayaiga!!

ukipendeza kila mtu akakutazama unajiskia vizuri zaidi inakupa confidence........tunaacha wazi tukijua tutavutia attention na tunaipata haswaa!

Matatizo ya kujiamini na malezi!

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom