Wanawake wa kisasa na tatizo la "Double standard"

Wanawake wa kisasa na tatizo la "Double standard"

mimi imenigusa kidogo hapo kwenye kuchati na wafanyakazi wenzie na kuwapa airtime kuliko wewe duh pole bwan.....................wanawake ndivyo baadhi yao walivyo wanapenda mjukuu sana................. tnatenda ndipo tunatafakari na huwa hatiutafakari ndipo tukatenda...............

kiukweli mkeo alishaanza kuzuzuliwa na wafanyakazi wenzake na kushahu kuwa ukiingia kazini mgeni kuna vidume lazima vipite usipokuwa makini........... umependeza nyingi... zinadanganyaga
 
Ni kweli mpenzi........ila sasa ni swala la kujicontrol tu maana consequence ya matendo hayo huwa inamrudia muhusika mwenyewe na kumuathiri spouse wake.........
 
Ni kweli mpenzi........ila sasa ni swala la kujicontrol tu maana consequence ya matendo hayo huwa inamrudia muhusika mwenyewe na kumuathiri spouse wake.........
sawa mkuu tutajitahidi aisee
 
Matatizo ya aina hiyo ni kwa baadhi ya wanajamii tu.

Kwa jamii zingine hakuna hayo kwani kuna talaka, either or.

Talaka sio suluhu ya haya matatizo........utawataliki wangapi na wote wapo namna hii siku hizi........ni kuwarekebisha tuh .....hakuna jinc.
 
nakushauri usiendelee kupoteza mda mpe mimba ndugu kabla haiajwa too late
huyu mwenzenu kazidiwa ujanja siku nyingi mno ila sijui kwa nini haoni. eti 2 to 3 yrs to come, wameshakaa kwenye ndoa miaka mitatu na uchumba toka 2007. Kuna mtu alitunga kibao "...naota naota nadanganywa ooooo...". The guy is tooo blind aisee.
 
Binafsi nimeisoma thread yako mkuu nimeumia sana coz mambo kama haya yanatutesa sana sisi vijana tunaoanza ndoa hasa tukiwa na umri wa kati, hii inatokana na uwezo mdogo wa kuchukua maamuzi sahihi na kwa wakti gani? pindi tatizo linapotokea.

Hili si ttzo dogo kama unavyofikilia sbb litaendelea kukusumbua mda mrefu tu usipokuwa makini anachokifanya huyu sasa usitegemee kama ataacha ghafla au kubadilika ndani ya mda mfupi, ule usemi wa kila mtu atabeba msalaba wake nadhani aanza kuufanyia kazi, inawezekana kabs amebadilika kutokana na mazingira baada ya kupata kazi au wewe mwenyewe umeteleza mahali fulani ktk kufanya maamuzi sahihi.

Nahisi tabia hii imeanza kuota mizizi na si kwamba imeanza leo kama usemavyo bali alikuwa nayo tangu awali ila hukuijua coz hakuwa huru sana kwako kabla ya kupata kazi, ngoja nikwambie kitu kaka inawezekana kosa lako kubwa umeruhusu kwa kiasi kikubwa ayajue mapungufu yako mengi kwa mda mfupi pili ndugu yangu umekosa msimamo haiwekani ghafra tu abadilike kuna mahli kuna weakness upande wako

Ninachokijua mwanamke ni kama mtoto anahitaji maelekezo sahihi ikitokea ukajisahau tu anakudharau sana , jambo lako lolote hasa unaloamini litajenga ndoa haijalishi atalipokea vp mweleze tu akuelewe mlie tyming akiwa amesettle mweleze kinaga ubaga ataelewa tu.

Kamwe usikubali akuyumbishe akutoe kwenye reli hata kama umempenda vp mheshimu mpende lkn uwe na limit,ukijisahau tena ukmheshimu kupita maelezo ukamnyenyekea sana na kulia lia na vsms kama unavyoendelea kufanya AISEE!atakusumbua sana zaidi ya sasa mimi nahisi ttzo siyo kazi aliyopata ukweli ni kwamba umekosa msimamo na maamuzi kama mwanaume, huko kwenye simu na sms zake unahangaika bure kaka, mwanamke hachungwi kama mbuzi au kondoo utapasuka kichwa.

Kama ningekuwa mm ndio ww (inagawa haiwezekani) ningefanya hivi, kwanza simu yake nisingekuwa na mda nayo kbs pili huyu ni mkeo siyo fiancee au girl friend ungejitahidi ucheze na sku zake umtandike kitambi bila yeye kutegemea tatu kama mlikuwa na msaidizi yaani housegirl mpumzishe kwa mda ili huyu aanze kujua wajibu wake kama mkeo, mambo mengine mfanyie maksudi tu ili akuheshimu(ingawa inaweza kuonekana kama utumwa lkn lengo ni kujenga) mfano anaweza tenga chakula harafu mwambie kimaksudi akunawishe mikono akupakulie akimaliza asali harafu ww kimya. ukimaliza kula hivyo hivyo atanyooka tu kama ulikuwa na mpango wa kuwa na watoto zaidi ya mmoja hakikisha hawapishani sana miaka other wise utarudi humu jamvini kuja kulalamika tena kuwa kaja na mpya nyingine!

Ni hayo tu mkuu!
umechambua tatizo vizuri sana ila aya yako ya mwisho ya masuluhisho hakuna hata moja litakalofanya kazi. Huyu mwanamke si zoba wewe. Huyo bibie mimba ataishika siku akitaka yeye na si vinginevyo. Na kutumia watoto kama njia ya kumwadabisha mwenzi ni kujitafutia tatizo jipya tu. Kuna waume humu wake zao wanazaa na bado wanaruka ruka hawana muda na malezi wala nyumba zao. Jamaa yuko fragile. Ajikubali atafute suluhisho. Bibie nae ana issues zake lakini huwezi kutumia muda wa maisha yako kuhangaika kumbadilisha mtu awe unavyotaka wewe. Hata watoto wetu wa kuwazaa kuna mahali huwa tunawaachia maana wana utashi wao.
 
huyu mwenzenu kazidiwa ujanja siku nyingi mno ila sijui kwa nini haoni. eti 2 to 3 yrs to come, wameshakaa kwenye ndoa miaka mitatu na uchumba toka 2007. Kuna mtu alitunga kibao "...naota naota nadanganywa ooooo...". The guy is tooo blind aisee.

umechambua tatizo vizuri sana ila aya yako ya mwisho ya masuluhisho hakuna hata moja litakalofanya kazi. Huyu mwanamke si zoba wewe. Huyo bibie mimba ataishika siku akitaka yeye na si vinginevyo. Na kutumia watoto kama njia ya kumwadabisha mwenzi ni kujitafutia tatizo jipya tu. Kuna waume humu wake zao wanazaa na bado wanaruka ruka hawana muda na malezi wala nyumba zao. Jamaa yuko fragile. Ajikubali atafute suluhisho. Bibie nae ana issues zake lakini huwezi kutumia muda wa maisha yako kuhangaika kumbadilisha mtu awe unavyotaka wewe. Hata watoto wetu wa kuwazaa kuna mahali huwa tunawaachia maana wana utashi wao.

Mwalimu naona unashusha nondo!
 
Hivi NANDERA ni mwalimu wa wapi mkuu? yuko njema balaa, nirushie CV yake kwa chemba please

Ha ha ha ha wala sijui....ila kwenye michango yake mwenyewe huwa amnaandika 'mwalimu Nandera'....ila yuko very very smart!
 
Nimekupenda bure we mkaka..umehisi tatizo na hujajiuliza mara mbili umechukua hatua.hongera kwa kusave ndoa yako
 
umechambua tatizo vizuri sana ila aya yako ya mwisho ya masuluhisho hakuna hata moja litakalofanya kazi. Huyu mwanamke si zoba wewe. Huyo bibie mimba ataishika siku akitaka yeye na si vinginevyo. Na kutumia watoto kama njia ya kumwadabisha mwenzi ni kujitafutia tatizo jipya tu. Kuna waume humu wake zao wanazaa na bado wanaruka ruka hawana muda na malezi wala nyumba zao. Jamaa yuko fragile. Ajikubali atafute suluhisho. Bibie nae ana issues zake lakini huwezi kutumia muda wa maisha yako kuhangaika kumbadilisha mtu awe unavyotaka wewe. Hata watoto wetu wa kuwazaa kuna mahali huwa tunawaachia maana wana utashi wao.

uko sahihi mwl Nandera wala sbb ya msingi ya kukupinga sina, inawezekana hata mimi uwezo wa kufikiri namna ya kumsaidia huyu jamaa kimawazo kutokana na tatizo alilonalo umeishia hapo, hiki nilichokiandika hapa ukiachilia mbali hili la kuzaa baada ya mda fulani mengine nina ushaidi nayo kuna ndoa ya ndugu yangu haikuwa tofauti na hii, kweli kabs jamaa alijaribu njia nilizoziandika hapa, kwa asilimia kubwa kafanikiwa ingawa kuna ya hapa na pale lkn ndoa imetulia jamaa asiogope afanyie kazi mambo tunayomshauli ikishindikana kuna wazee na watu wazima wenye hekima na busara zao watamsaidia ila akumbuke huyo mwanamke siyo static kama jiwe anaweza kubadilika tu . wenzetu wanasema "if u fail 2 plan then u plan 2 fail" SULUTE MWALIMU.
 
mada yako ni nzuri sana ila sidhan kama maana ya neno duoble standard umeitendea haki! anyway madem ndio zao wakipata kazi nzuri wanataka kukupanda kichwan kama mwanaume ukikubali utateseka maisha yako yote!
 
Binadamu ana uchu na kunahiyi tabia yakupima upepo na wengi upata madhara pale wanajidanganya wakisema si nina iki si nina huyu kadhaa wa kadha mwisho wa siku kunakuwa nakilio cha mdomo juu...
 
By mamii1 Unajua kususa kijana, una muda gani kwenye ndoa? Mna mtoto?
Ndoa bhana!

Hapana bado hatujatafuta mtoto tunavuta muda kidogo tuwe na kwetu kabisa two to three years from now.........mtoto acheze kwenye sebule yao sio ya kwa watu.........ndio inakwenda mwaka wa tatu now.......but we r together tokea 2007........

Yes ni wa ndoa tulifunga ya bomani.......

Duuh..........................!!!!!
 
Hivi NANDERA ni mwalimu wa wapi mkuu? yuko njema balaa, nirushie CV yake kwa chemba please
Weeee! ina maana mimi ni mchoyo au? kwanini usiniombe mimi mwenyewe nikurushie cv yangu?? ni mwalimu wa shule ya serekali hapa hapa dar. Nina uzoefu wa kazi hiyo wa miaka 9 sasa. Nitastaafu miaka ya 2040 na kitu. Nitafurahi kufundisha m/wanao.
 
Ha ha ha ha wala sijui....ila kwenye michango yake mwenyewe huwa amnaandika 'mwalimu Nandera'....ila yuko very very smart!
umejibu vyema. Asante kwa kunisifia. Ungeona nilivyotabasamu.
 
uko sahihi mkuu wala sikupingi hata kidogo inawezekana hata mm uwezo wangu wa kufikiri namna ya kumsaidia huyu jamaa kutokana na tatizo lake umeishia hapo ila hiki nilichokiandika hapa ukiachilia hili la kuzaa baada ya mda fulani mengine nina ushaidi nayo kuna ndoa ya ndugu yangu haikuwa tofauti na hii kweli kabs jamaa alijaribu njia nilizoziandika hapa, kwa asilimia kubwa kafanikiwa ingawa kuna ya hapa na pale lkn ndoa imetulia jamaa asiogope afanyie kazi mambo tunayomshauli ikishindikana kuna wazee na watu wazima wenye hekima na busara zao watamsaidia ila akumbuke huyo mwanamke siyo static kama jiwe anaweza kubadilika tu . wenzetu wanasema "if u fail 2 plan then u plan 2 fail" ni hayo tu mkuu.
sawa kaka. suluhisho zuri ni lile ambalo wawili wanafikia muafaka. Mmoja anakubali kuwa ana tatizo na anaahidi kubadilika na mwenzie anaahidi kumvumilia mpaka mabadiliko yatokee. Hizo njia za kimafia zinafaa kwenye mahusiano ya mtu na mfanyakazi wake.
 
Talaka sio suluhu ya haya matatizo........utawataliki wangapi na wote wapo namna hii siku hizi........ni kuwarekebisha tuh .....hakuna jinc.

Wote? NO.

Kuna wanawake na heshima zao, wengi sana tu.

Either or.

Amma kubali matokeo amma acha.
 
Back
Top Bottom