Hapana bado hatujatafuta mtoto tunavuta muda kidogo tuwe na kwetu kabisa two to three years from now.........mtoto acheze kwenye sebule yao sio ya kwa watu.........ndio inakwenda mwaka wa tatu now.......but we r together tokea 2007........
Mkuu mie naona ulichokifanya ni kurudisha heshima iliyokuwepo mwanzo hapo nyumbani ila bado kuna suala la kujiheshimu yeye kama yeye,maana bila ya hivyo unaweza ukaheshimiwa ila yeye akawa hajiheshimu.
Ndio maana tunasema nyie ni pasua kichwa mtu anawalalamikia ww tayari umeshaleta uhuni wako hapa alafu tunyamaze tuu never bora ata ungeenda kuandika kwenye uzi mwingine Mokoyo njoo huku
Navyojua Mwanamke ni either Pesa ama Mapenzi. Yaani either umpe hela ama ujue "kumsugua" nimetumia neno la mtaani.
mh ndugu the main thread nimeielewa na nakuunga mkono ila suala la mtoto umechemsha.eti mpaka ujenge.ukifa leo?usipojenga je?kila mtu angekuwa na mawazo hayo wengine tusingezaliwa .tafuta mtoto acha visingizio since 2007 mtoto angekuwa darasa la 3
2007 - 2015 = 8 mpaka sasa hakuna matunda ya ndoa !!! Halafu ukichapiwa unalalamika !!! Sasa nini kitamfirisha mkeo na kumkeep busy asiweze kuchat muda wote. Aidha, kwa miaka hiyo tayari mnaelekea kuzoeana kama kaka na dada, ndo maana wakati mwingine hafeal your presence.Hapana bado hatujatafuta mtoto tunavuta muda kidogo tuwe na kwetu kabisa two to three years from now.........mtoto acheze kwenye sebule yao sio ya kwa watu.........ndio inakwenda mwaka wa tatu now.......but we r together tokea 2007........
Ndio maana tunasema nyie ni pasua kichwa mtu anawalalamikia ww tayari umeshaleta uhuni wako hapa alafu tunyamaze tuu never bora ata ungeenda kuandika kwenye uzi mwingine Mokoyo njoo huku
Tunaishi nao lakini sio watu kabisa.
Shida ya wanawake wengi ni kuwa akishapata Nguvu za kiuchumi tu tayari anadhani yeye na wewe mnalingana katika kuongoza familia, anasahau kuwa mwanaume ni mwanaume tu na ndiyo kichwa cha familia (kwa mujibu wa maandiko matakatifu) hivyo huyo mkeo alianza kuzuzuka baada ya kupata Kazi huko TRA na kuanza kulamba mpunga.Shame on her! NB: Mchango wangu huu nimeutoa nikiamini kuwa ulichoandika ni ukweli vinginevyo ningepaswa kwanza kumsikia na mkeo anasema nini kuhusu hiyo issue.
yeleuwiiiiiTunaishi nao lakini sio watu kabisa.