Wanawake wa kisasa na tatizo la "Double standard"

Wanawake wa kisasa na tatizo la "Double standard"

Samcezar 'double standard' maana yake ni 'ndumila kuwili' - siyo kujipa thamani mara mbili.
Labda hiyo ni kwa tafsiri uliyoipa mwenyewe.
 
unaongelea mke wa ndoa au sogea tukae!??? kama umeoa kaombe change mapema ukweni
 
Mwanaume unafunga virago na kuacha mji wako???

Anyway hapo kuu imeunganisha wanawake woooote sio wote wanafanana tabia na mkeo Mkuu
Ni namna ya kumuonyesha kuwa sijaridhishwa na mwenendo wake.......na ni njia ya kistaarabu ya kumuelekeza mwanamke .......ningemtoa yeye isingekuwa ustaarabu hata kama kanikosea......
 
Shida ya wanawake wengi ni kuwa akishapata Nguvu za kiuchumi tu tayari anadhani yeye na wewe mnalingana katika kuongoza familia, anasahau kuwa mwanaume ni mwanaume tu na ndiyo kichwa cha familia (kwa mujibu wa maandiko matakatifu) hivyo huyo mkeo alianza kuzuzuka baada ya kupata Kazi huko TRA na kuanza kulamba mpunga.Shame on her! NB: Mchango wangu huu nimeutoa nikiamini kuwa ulichoandika ni ukweli vinginevyo ningepaswa kwanza kumsikia na mkeo anasema nini kuhusu hiyo issue.
Nachokwambia ni cha kweli.........kwanini nidanganye........ila yeye hayupo jf......pengine angeiona hii thread ungeweza muhoji...........!Ila amenizingua kwa staili hiyo ndugu yangu.......!
 
Humuwezi tena keshaota pembe mpaka uneamua kuleta hoja maji ni ya shingo pole Mkuu
Jeuri hii ni ya chekechekea best........huyu anajua kwa jinsi nilivyotoka naye mbali akileta za kuleta atajitia mikosi maana nimem'badilisha kwa mengi na kuvumilia utoto mwingi ..........sasa anajua yupo na mtu mzima......

Ngoja nikupe siri......unaona ni kwanini huwa tunawapenda mama zetu ni kwasababu ni wanawake ambao walijitoa kwetu.......sasa hata wewe utakapojitoa kwa mtu na kumvumilia kwa yote......siku unapokuwa mbali na yeye atahisi sehemu ya maisha yake inatoka..........ndicho nilichomuonyesha.......
 
Huyo mwanamke atakusumbua kila siku.
Hapo ni kama ametuliza mzuka, wajanja wameshakuwahi.
 
ur genius bro ume solve ipasavyo.....wanawake ni hamnazo tatizo wametuzaa tu .tungekua tunatoka kwenye MITI au MATRANSFOMER mbona wangeelewa KAZI
Thank you my brother.........
 
Jeuri hii ni ya chekechekea best........huyu anajua kwa jinsi nilivyotoka naye mbali akileta za kuleta atajitia mikosi maana nimem'badilisha kwa mengi na kuvumilia utoto mwingi ..........sasa anajua yupo na mtu mzima......

Ngoja nikupe siri......unaona ni kwanini huwa tunawapenda mama zetu ni kwasababu ni wanawake ambao walijitoa kwetu.......sasa hata wewe utakapojitoa kwa mtu na kumvumilia kwa yote......siku unapokuwa mbali na yeye atahisi sehemu ya maisha yake inatoka..........ndicho nilichomuonyesha.......

Huyo mwanamke sio ndugu yako.
Kutoka naye mbali kusikupe guarantee ya kuwa hawezi kufanya maamuzi magumu.
Ishi nae kwa akili, lasivyo huna ndoa hapo.
 
Hiyo ni super marioo, huoni anasema alikuwa akimsindikiza na kumbebea handbag asubuhi wakati anaenda kazini, acha yamkute!!.
Ha ha ha ha ha ha ha ........isambe ntake radhi .......mimi si marioo......nina kazi yangu na huyu mwanamke kila siku anafungua wallet yangu kuchukua pesa ya matumizi.......na karibia asilimia 80% ya expenses mimi ndiye msimamiaji ........

so hapo sipo kwenye kuwa tegemezi mimi sihusiki tafadhali......na huwa ninamsindikiza maana yeye huwa anaingia jobu saa mbili mimi natoka maskani saa tatu na nusu au saa nne so huwa sioni vizuri kumuacha aende road pekee yake........
 
Mkuu mie naona ulichokifanya ni kurudisha heshima iliyokuwepo mwanzo hapo nyumbani ila bado kuna suala la kujiheshimu yeye kama yeye,maana bila ya hivyo unaweza ukaheshimiwa ila yeye akawa hajiheshimu.
Uhuru.....thats y nimeonelea kipindi cha likizo tukalipie huduma ya marriage counseling kwa wataalamu kama dk. mauki au dk.mkongo ili wampe muongozo maana siku hizi tunachukua mabinti ambao hawana ufahamu kuhusu mahusiano ya ndoa hata kidogo ingawa wapo kwenye umri wa kuperform majukumu ya ndoa.......

siku hizi hakuna unyago wala program yeyote ya kuwapa elimu rasmi ya kuishi na mwanaume katika ndoa tolea mbali ile kitchen party tu ndio kwao wanaambulia .......sonadhani ndio maana tatizo linazidi kuwa kubwa kadili siku ziendavyo.
 
Samcezar 'double standard' maana yake ni 'ndumila kuwili' - siyo kujipa thamani mara mbili.
Labda hiyo ni kwa tafsiri uliyoipa mwenyewe.
Hapana si kweli.......ndumi la kuwili ni traitor...........mtu ambaye anashika jambo moja huku anataka kufanya jingine........kama unataka kuhakiki naomba ugoogle hilo neno utapata tafsiri yake mtandaoni.........double standard kama linavyojielezea lina maanisha kuzidisha kiwango......au kupitiliza.......mifano ipo mingi kuelezea double standards......
 
Jeuri hii ni ya chekechekea best........huyu anajua kwa jinsi nilivyotoka naye mbali akileta za kuleta atajitia mikosi maana nimem'badilisha kwa mengi na kuvumilia utoto mwingi ..........sasa anajua yupo na mtu mzima......
Ngoja nikupe siri......unaona ni kwanini huwa tunawapenda mama zetu ni kwasababu ni wanawake ambao walijitoa kwetu.......sasa hata wewe utakapojitoa kwa mtu na kumvumilia kwa yote......siku unapokuwa mbali na yeye atahisi sehemu ya maisha yake inatoka..........ndicho nilichomuonyesha.......

Mkuu, huyu ndo yule mwanamke ambae amekuwa akikusumbua kwa mda mrefu?....Yule ambaye alisababisha ukampiga mshkaji na chupa kichwani na kumpasulia vioo vya gari lake kule Tabata Segerea?....

Kama ndio yeye huoni kama umedata sana nayeye kuliko yeye alivyodata na wewe?....mapenzi yanakuelemea sana mkuu wakati kwa mwenzako ni mepesi.....angalia sasa hivi ikitokea mzozo unakimbia mji wako....inaonekana mtu wako huyo bado ana akili za kitoto......

Ishi naye kwa akili sana.....
 
Huyo mwanamke atakusumbua kila siku.
Hapo ni kama ametuliza mzuka, wajanja wameshakuwahi.
Best........nangojea kwa hamu sana afanye huo upuuzi ambao akili yake itamtuma maana nina set ya mbinu za kuadabisha bila kumuaibisha wala kumdhuru ila mwisho wa siku atajua kuwa alikuwa anacheza na wavulana ila yupona mwanaume.......kuhusu hilo najiaminikuwa nitamrekebisha mara tu atapofanya ujinga wowote.......
 
Mkuu, huyu ndo yule mwanamke ambae amekuwa akikusumbua kwa mda mrefu?....Yule ambaye alisababisha ukampiga mshkaji na chupa kichwani na kumpasulia vioo vya gari lake kule Tabata Segerea?....

Kama ndio yeye huoni kama umedata sana nayeye kuliko yeye alivyodata na wewe?....mapenzi yanakuelemea sana mkuu wakati kwa mwenzako ni mepesi.....angalia sasa hivi ikitokea mzozo unakimbia mji wako....inaonekana mtu wako huyo bado ana akili za kitoto......

Ishi naye kwa akili sana.....
Yes brother .......ndiye yule yule.......ndio nakomaa naye hapa .......ndoa ni ngumu ndugu yangu ..........bado ananiletea majaribu ingawa sasa hivi ni mizaha mizaha tu......tofauti na kipindi kile........yule jamaa alinijia na polisi.........kunishtaki kwa uharibifu wa mali......polisi m'moja aliyekuja naye ni mwanangu hivyo nikaitwa tu kituoni bila kukamatwa kwa shurti......tulipofika kituoni nikaambiwa niandike maelezo......nikasema sawa nitaandika kwa sharti moja......mke wa yule mzee aitwe awe shahidi katika hiyo kesi......mbona mzee aliingia mitini maana alijua hiki kisanga kikimfikia mkewe ni inshu so kesi ikapotea kisela hivi hivi.
 
Mtu wako akishajitambua nafasi yake na wajibu wake atakua fresh.....
 
Ha ha ha ha ha ha ha ........isambe ntake radhi .......mimi si marioo......nina kazi yangu na huyu mwanamke kila siku anafungua wallet yangu kuchukua pesa ya matumizi.......na karibia asilimia 80% ya expenses mimi ndiye msimamiaji ........so hapo sipo kwenye kuwa tegemezi mimi sihusiki tafadhali......na huwa ninamsindikiza maana yeye huwa anaingia jobu saa mbili mimi natoka maskani saa tatu na nusu au saa nne so huwa sioni vizuri kumuacha aende road pekee yake........

Navyojua Mwanamke ni either Pesa ama Mapenzi. Yaani either umpe hela ama ujue "kumsugua" nimetumia neno la mtaani.
 
Back
Top Bottom