Wanawake wa kisasa na tatizo la "Double standard"

Wanawake wa kisasa na tatizo la "Double standard"

Weeee! ina maana mimi ni mchoyo au? kwanini usiniombe mimi mwenyewe nikurushie cv yangu?? ni mwalimu wa shule ya serekali hapa hapa dar. Nina uzoefu wa kazi hiyo wa miaka 9 sasa. Nitastaafu miaka ya 2040 na kitu. Nitafurahi kufundisha m/wanao.

Hahaa ningekuomba mwenyewe ungenizungusha bana, nakukumbuka sana ulivyonipelekeshaga siku ile tunadiscuss realities na culture

Ila naona sijafanikiwa, nimeingia chaka vile vile.......manake niliyemuomba naye kanirusha mita mia

cc RRONDO
 
Last edited by a moderator:
hapo lazima kuna jambo. Ni suala la muda tu, muda ukifika utagundua. Endelea kufanya uchunguzi huko TRA lazima kuna kitu. Nakuonea huruma hasa ukizingatia hamjazaa hata mtoto. pengine mtoto ndio angekuwa kiunganishi kikubwa kati yenu. na pengine siku ile umechanja mbuga umemuachia gheto hungeondoka kama mna watoto au mtoto. The fact that hamjapata mtoto inaweza kuwa rahis sana yeye kukuchinjia baharini hasa akipata mwanaume ambaye yupo tayari kuzaa. na ukizingatia ana kazi na kipato chake, basi utegemee mengi zaidi ya hayo.

After all wanawake wanapenda sana watoto. nahisi wewe unapopanga kuwa mpate mtoto miaka mitatu ijayo, mwenzio anaona umri unakwenda na angefurahi kama angelikuwa na mtoto tangu miaka mitano iliyopita.

matatizo mengine unaweza kuona wewe ndio chanzo, ijapokuwa hapa unamlaumu mwenzio. KAZI KWAKO.
 
Ila kuna wanawake wengine wakisha jifungua akili zinapanuka
 
sawa kaka. suluhisho zuri ni lile ambalo wawili wanafikia muafaka. Mmoja anakubali kuwa ana tatizo na anaahidi kubadilika na mwenzie anaahidi kumvumilia mpaka mabadiliko yatokee. Hizo njia za kimafia zinafaa kwenye mahusiano ya mtu na mfanyakazi wake.
shukrani kaka nimekuelewa vyema ww ni great thinker siyo lofa thinker coz nahic I.Q yako ina range kwenye 80% kwenda mbele uko very smart mwalimu Thnx.
 
Nakuonea huruma hasa ukizingatia hamjazaa hata mtoto. pengine mtoto ndio angekuwa kiunganishi kikubwa kati yenu.

TAFADHALINI MSIZAE WATOTO ILI KUTENGENEZA MAHUSIANO YALIYOHARIBIKA. TAFADHALI TAFADHALI.

Kwa niaba ya UNICEF.
 
huyu mwenzenu kazidiwa ujanja siku nyingi mno ila sijui kwa nini haoni. eti 2 to 3 yrs to come, wameshakaa kwenye ndoa miaka mitatu na uchumba toka 2007. Kuna mtu alitunga kibao "...naota naota nadanganywa ooooo...". The guy is tooo blind aisee.

Jamani, Dunia ya leo tunazaa kwa kuangalia pochi.... Tafadhali acheni kutotoa watoto kisa mmekaa tu muda mrefu.

Asante.
 
ukimpenda sister du na unajua kumuacha huwez kwa jinsi alivyouteka moyo wake iblnabidi umzalishe fasta fasta ili kumbadilisha akili yake..

hapo angekuwa mama wa watoto wawili tayari plus mumewe wa tatu kuchat kungeisha automatic

Zaeni watoto kwakuwa mnataka kuleta kiumbe na kumpa life experience.

Acheni sababu za kichoyo hizo. We have enough unhappy kids in the world.
 
...leo hii hebu nambie ni wapi wasichana huwekwa kambini au huwekwa chini kupewa mafunzo au training ya kuwaanda kuwa wanawake bora kwa waume wao plus kuwa na misingi ya kifamilia......hakuna hata taasisi inafanya hivyo na hii imetokana na mfumo wa maisha tunayokia sasa ambao hauwaathiri sana wanaume ila unawaathiri wanawake kwa asimia kubwa......hebu pigia picha mtu atoke chekechea hadi anapofikia degree au masters......kama ni kichwa nazi anajitrain vipi kujua maisha inje ya shule ..

Na wavulana Huwa wanafundwa wapi?

Kama NANDERA alivyokuambia you have problems. Thread mzima unarudia kusema wanawake ndo wana matatizo.... .
 


Ipo hivi - few months ago alikuwa ameomba kazi TRA na alifanikiwa kupata mualiko wa usahili.

Kama mwanaume responsible nilijitahidi kadili ya utashi wangu uwezavyo kumnoa ili afanikiwe katika usahili wake wa kwanza katika taasisi ya serikali.

Alifanya na kufanikiwa kupita katika usahili na hivi navyoongea yupo mzigoni. Sasa few days ago baada ya kupokea pay mara kadhaa simuelewi haiba yake maana si niliyoizoea.
.

Mimi sitetei makosa ya mkeo. Mwenyewe sipendi silly chit chats.

Nataka tu kuwakumbusha wasichana, nothing is for free. Leo anakupa hiki. Kesho anakutafutia kazi. YOU WILL HAVE TO PAY BACK. Mpime kama mna uwezo wa kulipa.
 
Hapana bado hatujatafuta mtoto tunavuta muda kidogo tuwe na kwetu kabisa two to three years from now.........mtoto acheze kwenye sebule yao sio ya kwa watu.........ndio inakwenda mwaka wa tatu now.......but we r together tokea 2007........

Ufahamu wako bado mdogo sana. kumbe hamzai mpaka mjenge inawezekana kuna abortion za kutosha zimehusika. laiti ungejua kuwa hizo dharau zote ni sababu hujamjaza tumbo!!
 
Huyo mimi nahisi tayari analiwa na mtu/ watu huko kazini au hata uraiani.

Pole zako.
 
Hahaa ningekuomba mwenyewe ungenizungusha bana, nakukumbuka sana ulivyonipelekeshaga siku ile tunadiscuss realities na culture

Ila naona sijafanikiwa, nimeingia chaka vile vile.......manake niliyemuomba naye kanirusha mita mia

cc RRONDO
kha! kwanza acha kukariri kuwa nandera wa kwenye malumbano ya mada ile ndo nandera wa maombi ya cv. sikumbuki hata hiyo mada unayoizungumzia - kumbukumbu zangu kidogo kama za kuku. Halafu unavyosema hujafanikiwa sasa ulitaka niambatishe cv na picha kabisa?? Huyo RRONDO unamsakama bure tu. Kuna mdada alileta mada hapa kwa kingereza chenye utata mkali ikazuka mada ndani ya mada ndo nikajitanabaisha kama mwalimu nandera. kama anajua zaidi ya hapo na wewe unajua kuwa anajua itabidi niwafanyie ziara ya kushtukiza.
 
shukrani kaka nimekuelewa vyema ww ni great thinker siyo lofa thinker coz nahic I.Q yako ina range kwenye 80% kwenda mbele uko very smart mwalimu Thnx.
Hizi akili hizi nashangaa zinafanya kazi jf tena mmu tu. Huku nje ya skirini nazi kabisa,lol. Nashukuru ila mimi ni dada bana.
 
Mnafikiri wale mabinti was sinza afrika saba..mapambano awapendi kuolewa kwa hiari

Loh
 
poleni mliooa wafanyakazi huku maofisini tunawashika viuno sana
 
kha! kwanza acha kukariri kuwa nandera wa kwenye malumbano ya mada ile ndo nandera wa maombi ya cv. sikumbuki hata hiyo mada unayoizungumzia - kumbukumbu zangu kidogo kama za kuku. Halafu unavyosema hujafanikiwa sasa ulitaka niambatishe cv na picha kabisa?? Huyo RRONDO unamsakama bure tu. Kuna mdada alileta mada hapa kwa kingereza chenye utata mkali ikazuka mada ndani ya mada ndo nikajitanabaisha kama mwalimu nandera. kama anajua zaidi ya hapo na wewe unajua kuwa anajua itabidi niwafanyie ziara ya kushtukiza.


Mmh haya bana
 
Ukiona maji ya shingo yanakushinda kumbuka kuna wenzako wanayapigia mbizi chini kwa chini, ndoa ina part ya kuvumiliana pia, everyone must play it.
 
Mleta mada una tatizo kubwa sana. Just that you're too blind to see. Napendekeza Chris Mauki aanze na wewe...
 
Back
Top Bottom