Wanawake wa kisasa na tatizo la "Double standard"

Wanawake wa kisasa na tatizo la "Double standard"

Hapana bado hatujatafuta mtoto tunavuta muda kidogo tuwe na kwetu kabisa two to three years from now.........mtoto acheze kwenye sebule yao sio ya kwa watu.........ndio inakwenda mwaka wa tatu now.......but we r together tokea 2007........

umesema toka 2007 mpaka leo amna mtoto!!!!?
wanaume wa kizazi kipya bhana kumbe ndio maana huyo mwanamke anakuona boya
 
U try smthng out of ur comfort zone and u ll never regret it myn Eli79
..ain't interested man, I don't use back doors brah..! Look for someone else to screw you, stop spoiling my day!...asante kwa kunielewa!!
 
Last edited by a moderator:
..ain't interested man, I don't use back doors brah..! Look for someone else to screw you, stop spoiling my day!...asante kwa kunielewa!!

Why would i spoil ur day my Eli79?
Do it for fun myn.
 
Last edited by a moderator:
Mi naona wewe ndo una matatizo kwasababu
* jambo dogo hivyo huwezi susa wiki nzima eti unahama hadi nyumba
*mkeo alishaomba msamaha ukaona ngumu kumsamehe
*ukifuatilia mambo anayofanya mkeo ofisini basi nawapeni miezi miwili tu mtakuwa mmeshaachana, maofisini kuna kila aina ya vitu ka na mautani, halafu hyo msg uliyokuta mbona ya kawaida sana
*halafu inaonyesha either una wivu uliopitiliza au bado haujakua vizuri
 
Mpe majukumu ( mzalishe) alee mtoto maana bado anajiona msichana huyo.
 
Hahaha JF ina mambo sana...

Yaani 'Fatuma ndume' linatongoza mwanaume hadharani ili likagongwe uwemba...

Naona umeandika kuwa unataka kujinyonga, bila shaka upo na izraili sasa mkielekea akhera...

U are welcum sweetie, check.me out if u are interested with da back door Eli79

Stop blushing my Eli79

U try smthng out of ur comfort zone and u ll never regret it myn Eli79

Why would i spoil ur day my Eli79?
Do it for fun myn.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha. :lock1::lock1:
Eti jamaa kasusa nini? Manake sijaelewa elewa. Afu swahiba nikuulize, kiporo c😛hone:a pizza kinapashajwe, manake kinakuwa kina nyanya:decision:
.....hahha! Spot on mkuu,....hilo nalo neno,"[....unaweza ukaheshimiwa ila yeye akawa hajiheshimu!]"

.......hii 'movie,' ndio imeanza. Part 2 huenda starring akauwawa, maana bro Samcezar hiyo tabia ya kususia nyumba wiki mbili hulali nyumbani na wala hutaki mawasiliano na mkeo, mnh?!! #TikisaKiberiti

Cc; Dark City, King'asti, The Boss mnalionaje hili?
 
Mkuu pole sana, bora wewe umeoa...maana mimi imenitokea hali kama yako kidogo yangu tofauti maana mimi nilikuwa na gf ambae nilimvumilia mpaka kamaliza chuo baada ya kufanya kazi 7 month ikabidi niache kazi baada ya kupata scholarshp kupiga masters ya Engineering hapa hapa Bongo.

Ikabidi nimpush dogo akapige masters au akapractise law hahahahaha... akapata sehemu kupractise hizo mambo yao wakawa wanampa posho kama laki 3 si akaanza kuleta dharau

Nikajitahid kumuweka sawa nikashindwa ikabid nimwambie bora uende maana usije kunitoa kwenye reli nikashindwa kumaliza ata hii masters kwa stress ambazo hazina msingi...sometimes hawa dada zetu sijui wanakuwaje

Kweli maisha siku zote hayapo fair wakati nyie mnalia wakawake wanakuwaje na sisi pia tunalia kaka zetu mnakuwaje ila nilichojifunza katika maisha usitegemee mtu akupe furaha ni bora ujitengenezee furaha mwenyewe ndo utaweza kumaliza mambo yako,kufall in love ni risk sana kwakwel
 
Komenti yako mkuu inafikirisha, naendelea kuitafakari.
now i see. you have a serious psychological problem. uko kwenye toxic relationship na addict ni wewe. Mwisho wa siku utakuja kuuwa au kujiuwa. Una low self esteem na unconsciously au consciously unajaribu kuifukia kwa kutumia njia za mabavu ili ku-maintain nafasi yako ambayo ndani unahisi imepwaya. Unavyoonekana mbishi natamani kukuuliza utoto wako ulikuwaje ila naogopa. Kama umeamua kwenda kwa dr. chris mauki jipeleke mwenyewe binafsi kwanza ndo uende na mwenzi wako.

ningekuwa kwenye nafasi ya chris ningekwambia utoke kwenye huo uhusiano sijui ndoa. mambo gani hayo mpaka ushapigana na mwanaume mwenzio kisa mwanamke? kwani huyo mwanamke ni mdoli hana utashi? bado uhangaike ku-hack mawasiliano yake, mara ulilie message za mchana akiwa kazini.......mpaka anakwambia humsisimui mpaka labda usafiri...we bado upo tu unahangaika kumrekebisha. Huko ni kuwa gerezani.

Fikiria kutafuta uhuru. unatakiwa ukiwa na mwenzi uwe na amani ya moyo. akichelewa uhisi kapatwa na dharura au kitu kibaya na si kuwa anazini. sasa wewe dah!
 
2007 hadi leo bado analeta makuzi hayo?....mpige mimba fasta,hizo stori za mtoto acheze kwenye sebule yao tupa kule!...2-3 yrs to come kwa pigo hizo utakosa mwana na maji ya moto!...ila mwanaume hakimbii nyumba arif!..ukisusa wenzio wala!
Mengine ya Dr Chriss,mi nimekushauri ki-NIGGA!
Safi!!!!!!!
 
Wanawake ndivyo walivyo bro! Wepesi Sana Kusahau!!!
 
Back
Top Bottom