tabia za mabinti wa kingoni hasa mgoni anapotaka kuolewa na mchaga hiyo joint venture imekaajeHivi hapa mnajadili nini vile????
tabia za mabinti wa kingoni hasa mgoni anapotaka kuolewa na mchaga hiyo joint venture imekaaje
ninaloweza kusema tu kwa sasa sifa za mwanamke/mwanaume zipo kwa mtu mmoja mmoja, siyo kama zamani kulikuwa na sifa za wangoni, wanyiramba, wachaga..........
mimi ni mngoni, nikiangalia sifa nyingo zilizotajwa hapo juu nilizo nazo ni uchapakazi na uimbaji (siyo bar). mengine yote.. sijui kufuga, kupenda pombe, biashara, easy going....... sina
yewu mlongo wangu Kipipi, za magono.kweli kabisa, characters zilishabaki kwa mmoja mmoja.....labda tulichobakiza kushea kwenye makabila yetu naweza sema ni vyakula tu vya kiasili na wala si kabila! FP nikuwoni....
ninaloweza kusema tu kwa sasa sifa za mwanamke/mwanaume zipo kwa mtu mmoja mmoja, siyo kama zamani kulikuwa na sifa za wangoni, wanyiramba, wachaga..........
mimi ni mngoni, nikiangalia sifa nyingo zilizotajwa hapo juu nilizo nazo ni uchapakazi na uimbaji (siyo bar). mengine yote.. sijui kufuga, kupenda pombe, biashara, easy going....... sina
tabia za mabinti wa kingoni hasa mgoni anapotaka kuolewa na mchaga hiyo joint venture imekaaje
that's my sister, chezea mabinti wa kingoni weye......................mie ni mngoni na nimeolewa na mchaga!hiyo ventor ni poa ajabu!AKITOKA KUTAFUTA CHAPAA ANANIKUTA KWA BED!nikiwa tayari tayari kabisa nampigisha lizombe na mganda,kesho akiamka yuko pooooa!anaenda kuzitafuta zingine !
Mwalimu wangu snowhite , topic ya mganda ivi ni lini tena ebu cheko lesson plan?mie ni mngoni na nimeolewa na mchaga!hiyo ventor ni poa ajabu!AKITOKA KUTAFUTA CHAPAA ANANIKUTA KWA BED!nikiwa tayari tayari kabisa nampigisha lizombe na mganda,kesho akiamka yuko pooooa!anaenda kuzitafuta zingine !
mie ni mngoni na nimeolewa na mchaga!hiyo ventor ni poa ajabu!AKITOKA KUTAFUTA CHAPAA ANANIKUTA KWA BED!nikiwa tayari tayari kabisa nampigisha lizombe na mganda,kesho akiamka yuko pooooa!anaenda kuzitafuta zingine !
that's my sister, chezea mabinti wa kingoni weye......................
Hata mimi ni mgoni.....tunapenda sana kuimba na kujipa majina ya wanyama.....kwa mfano mimi naitwa Komba. Halafu ni walevi balaa lakini pia tunapenda sana pombe hasa za asili....kindi, ulanzi n.k.
Ukitupa milioni 10 na mke wako tupeleke mahali.......pesa itafika lakini mke utakuwa umeshaporwa.
Kifupi hivyo ndivyo tulivyo........au sio dada zangu FP na Snowwhite
you wish! unafikiri kuna wangoni kama wewe? lolHata mimi ni mgoni.....tunapenda sana kuimba na kujipa majina ya wanyama.....kwa mfano mimi naitwa Komba. Halafu ni walevi balaa lakini pia tunapenda sana pombe hasa za asili....kindi, ulanzi n.k.
Ukitupa milioni 10 na mke wako tupeleke mahali.......pesa itafika lakini mke utakuwa umeshaporwa.
Kifupi hivyo ndivyo tulivyo........au sio dada zangu FP na Snowwhite
ngoja niichek kwenye scheme of work halafu niifanyie lesson plan,uandae kabisa teachings aids,si unajua darsani kwetu huwa tunashirikiana kuandaa vya kufundishia ili somo lieleweka zaidi!
that's my sister, chezea mabinti wa kingoni weye......................
sasa je! we waache hapa wasemeeeeeeeeee mwisho wenyewe wanatutafuta, lol!ahhahahahahahha umeona enh!we angalkia mwenyewe prfile zetu full miaka 13 ya ndoa,mara watu tuwekwe uchumba miaka 9 na ndoa ina miaka 10 sijui,plus wengine wang'ang'anie wakisubiri tuachike watuowe!ALA!CHEZEYA SISI WEWE! Kapipi njoo uweke yako