Wanawake wa kingoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wa kingoni

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Skillionare, Oct 9, 2012.

 1. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Habari wanajamii,najua si vizuri kujadili makabila ila kwa sehemu yanajenga tabia na utu wao,naomba kujulishwa mabinti wa kingoni wanatabia zipi ,kwa sehemu nimeona ni wawajibikaji wazuri ,naombeni upande wa pili wa characters zao au lolote linawahusu.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu jaribu kusearch thread ya kabila la wangoni ipo humu humu ishajadiliwa jaribu kuisearch utaipata tu sawa mkuu Skillionare
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  snowhite hebu njoo bac utuhabarishe......
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  nimekupata mkuu ila sidhani kama ntaweza kama yupo mwenye uwezo ningeshukuru
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Bwana wewe! Hawajui kukataa hao labda awe na dharura muhimu mno! Ukitaka mtu wa chap chap hao ni muafaka.
   
 6. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kumbe.....
   
 7. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Jamani wanawake hawa wengi wao wa enzi hizo walikuwa wanapenda sana mchezo wa matusi na hata wanaume wao. Ni watu hodari sana kwa kuchambana na hata kusutana ila pia ni hodari wa kucheza miziki na wanapenda sana kujirusha pia wanapenda sana kujisifia na kujiona wako juu ya kila kitu mfano wao mzuri nenda kwenye sherehe zao utaona wanavyojikweza utadhani wahaya tofauti tu hawa hawajasoma sana. Wao kusuta wenzao na kusema hovyo ni kawaida na hawaoni haya kwa mkubwa wala mtoto.

  Kwa upande mwingine ni wachapa kazi hasa biashara na kielimu wanasoma kwa tunaokutana nao mashuleni. Biashara zao nyingi ni za kufuga hasa kuku na kumili migahawa ya vyakula.
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  unanchimba!
   
 10. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mwalimu mwalimu!hahahhhhahhaha haya tudadavue tu!
   
 11. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mh !jamani jamani!
   
 12. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  wanapenda pombe asikwambie mtu! si wanaume wala wanawake zao. na wakishalewa kwenye bar zao, lazma waimbe nyimbo za kwao, tena ukikaa vibaya na kioda kitachezwa! wana sauti nzuri sana wengi wao za kuimba!
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wazuri sana kunako 6*6 kama mchovu lazima unyoshwe
   
 14. awp

  awp JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  kwa kweli, kusema nooooooooooooooo kwao ni mwiko kabisa "easy going", wanapenda sifa, wasafi, wachapa kazi, kutoka nje ya ndoa kwao ni kawaida, uongo, ndugu wa damu kutembea na shemeji au baba mdogo ni kitu cha kawaida saaaaaaaaana. nina rafiki yangu alikmchukua mtoto wa dada yake akae naye akatembea na baba yake mdogo na walikutwa laivu wakivunja amri ya saba. ukiwa na rafiki wa kingoni ukikaa vibaya anakutafunia mumeo au bfriend wako.
   
 15. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mh huu utafiti umecover umbali gani?
   
 16. M

  Malipo kwamungu JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Naomba mdau anieleze kama wanakataga 'KIMEO' zingatia tafsida
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hapa nakubaliana na wewe niki-refer yule mama mwenyekiti wa bunge....
   
 18. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ninaloweza kusema tu kwa sasa sifa za mwanamke/mwanaume zipo kwa mtu mmoja mmoja, siyo kama zamani kulikuwa na sifa za wangoni, wanyiramba, wachaga..........
  mimi ni mngoni, nikiangalia sifa nyingo zilizotajwa hapo juu nilizo nazo ni uchapakazi na uimbaji (siyo bar). mengine yote.. sijui kufuga, kupenda pombe, biashara, easy going....... sina
   
 19. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  yaan hawajui kukataa kabisa mnaweza kufahamiana leo na ukapewa leo leo hawana longo longo ila ukitaka kumweka ndani uwe na roho ngumu coz hao ni easy taker na anaweza hata kutembea na mdogo wako au brother au yeyote ucpoangalia
   
 20. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kuongea sana na kuzusha uongo haya nimeyaona
   
Loading...