Wanawake wa kingoni

ninaloweza kusema tu kwa sasa sifa za mwanamke/mwanaume zipo kwa mtu mmoja mmoja, siyo kama zamani kulikuwa na sifa za wangoni, wanyiramba, wachaga..........
mimi ni mngoni, nikiangalia sifa nyingo zilizotajwa hapo juu nilizo nazo ni uchapakazi na uimbaji (siyo bar). mengine yote.. sijui kufuga, kupenda pombe, biashara, easy going....... sina

kweli kabisa, characters zilishabaki kwa mmoja mmoja.....labda tulichobakiza kushea kwenye makabila yetu naweza sema ni vyakula tu vya kiasili na wala si kabila! FP nikuwoni....
 
Last edited by a moderator:

yewu mlongo wangu Kipipi, za magono.
unajua mimi sijaelewa kabisa mwanzisha mada alikuwa anamaanisha nini. maana siku hizi na michanganyiko hii kila mtu ana tabia ya sehemu/kabila lolote.
 
Last edited by a moderator:
ninaloweza kusema tu kwa sasa sifa za mwanamke/mwanaume zipo kwa mtu mmoja mmoja, siyo kama zamani kulikuwa na sifa za wangoni, wanyiramba, wachaga..........
mimi ni mngoni, nikiangalia sifa nyingo zilizotajwa hapo juu nilizo nazo ni uchapakazi na uimbaji (siyo bar). mengine yote.. sijui kufuga, kupenda pombe, biashara, easy going....... sina

Trust me u will never say it (unless u were lara 1)..but two is a good way to tell...hahahaah!!!:eyebrows:
 
Last edited by a moderator:
tabia za mabinti wa kingoni hasa mgoni anapotaka kuolewa na mchaga hiyo joint venture imekaaje

mie ni mngoni na nimeolewa na mchaga!hiyo ventor ni poa ajabu!AKITOKA KUTAFUTA CHAPAA ANANIKUTA KWA BED!nikiwa tayari tayari kabisa nampigisha lizombe na mganda,kesho akiamka yuko pooooa!anaenda kuzitafuta zingine !
 
that's my sister, chezea mabinti wa kingoni weye......................
 
Mwalimu wangu snowhite , topic ya mganda ivi ni lini tena ebu cheko lesson plan?

Naisubiri kwa hamu
 
Hata mimi ni mgoni.....tunapenda sana kuimba na kujipa majina ya wanyama.....kwa mfano mimi naitwa Komba. Halafu ni walevi balaa lakini pia tunapenda sana pombe hasa za asili....kindi, ulanzi n.k.

Ukitupa milioni 10 na mke wako tupeleke mahali.......pesa itafika lakini mke utakuwa umeshaporwa.

Kifupi hivyo ndivyo tulivyo........au sio dada zangu FP na Snowwhite
 
unatuchimba mtani!ngija nije!
 
you wish! unafikiri kuna wangoni kama wewe? lol
 
Mwalimu wangu snowhite , topic ya mganda ivi ni lini tena ebu cheko lesson plan?

Naisubiri kwa hamu
ngoja niichek kwenye scheme of work halafu niifanyie lesson plan,uandae kabisa teachings aids,si unajua darsani kwetu huwa tunashirikiana kuandaa vya kufundishia ili somo lieleweka zaidi!
 
that's my sister, chezea mabinti wa kingoni weye......................

ahhahahahahahha umeona enh!we angalkia mwenyewe prfile zetu full miaka 13 ya ndoa,mara watu tuwekwe uchumba miaka 9 na ndoa ina miaka 10 sijui,plus wengine wang'ang'anie wakisubiri tuachike watuowe!ALA!CHEZEYA SISI WEWE! Kapipi njoo uweke yako
 
sasa je! we waache hapa wasemeeeeeeeeee mwisho wenyewe wanatutafuta, lol!
nashangaaga pia harusi nyingi sana ninazohudhuria nakutaga bibi harusi mngoni, sijafanya utafiti wa rate ya kuachika ila kwa ndoa nyingi ninazozijua zenye mke mngoni aisee huwa hazivunjiki.
ngoja Kipipi aje aweke stat zake
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom