The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,209
Wakurya na uzuri wapi na wapi wao mtu kazi.Mademu wakikurya hawawafikii wajita kwa uzuri.. wajita wazuri balaa [emoji39]
Mzanaki na mbibo wambura wapi na wapiLady Jaydee siyo Mkurya mamii, ni Msizaki kabila lake.
Nyie hamli nyama?Jamii yote inayokula nyama ni lazima wawe wakorofi.
Sio sanaNyie hamli nyama?
Mbona wewe hawakukuroga?Ni wachawi nimefanya kazi nao serengeti mgumu ni wauaji ni wachonganyishi mno
Umesahau umalaya πΉπΉ
Hadi mjomba ake anampea kitumbua akilenge..!! π€£
Nawe unaingia kabila la Mtanzania kama mimi tu π€£π€£π€£Mimi black America.. hatunaga makabila sisi..
Lady Jaydee siyo Mkurya mamii, ni Msizaki kabila lake.
Sidhani kama umefanya utafiti vizuri...yote hayo uloyasema kwa sasa yapo kwa makabila mengine. Kuna mshikaji alioa msukuma mgomvi balaa ubabe kuzidi hata hao wakurya; waliachana akapata demu wa kiHa, kafupi kagomvi balaaπππWewe kama ni kabila tofauti na wakurya sikushauri uoe mwanamke wa kikurya sababu ni hizi
β wengi wao ni wababe sana ugomvi hauwezi kuisha
β kwenye kupigana jitahidi visu mapanga unaweka mbali π
β mwanamke wa kikurya humpigi bali mnapigana
β Wanaviburi vya asili sana
β ugomvi kidogo wanakimbilia mapanga hao watu sio salama kbs
β Kwenye uchawi pia usipime hawa ndo huwa wanaroga wanaume unakuwa zuzu
β Akienda kwao akirudi lazima awe na mafurushi ya dawa za kienyeji
β Afu wengi wanaongea sana unakuta mwanamke anabishana na mme kama mtoto wake.
NB: Wazaramo na Tanga msijaribu kila siku mtakuwa mnapigika tu.
Wasukuma wanashindwana na mkurya sababu ya uchawi wakurya hawarogeki kirahisi ni mara chache sana kukuta ndoanya mkurya na msukuma inaamani
Kumbe maana kuna kijana ambaye baba yake ni biological mjomba wa mama yake!Umesahau umalaya πΉπΉ
Hadi mjomba ake anampea kitumbua akilenge..!! π€£
wewe ni mwanaume darWewe kama ni kabila tofauti na wakurya sikushauri uoe mwanamke wa kikurya sababu ni hizi
β wengi wao ni wababe sana ugomvi hauwezi kuisha
β kwenye kupigana jitahidi visu mapanga unaweka mbali π
β mwanamke wa kikurya humpigi bali mnapigana
β Wanaviburi vya asili sana
β ugomvi kidogo wanakimbilia mapanga hao watu sio salama kbs
β Kwenye uchawi pia usipime hawa ndo huwa wanaroga wanaume unakuwa zuzu
β Akienda kwao akirudi lazima awe na mafurushi ya dawa za kienyeji
β Afu wengi wanaongea sana unakuta mwanamke anabishana na mme kama mtoto wake.
NB: Wazaramo na Tanga msijaribu kila siku mtakuwa mnapigika tu.
Wasukuma wanashindwana na mkurya sababu ya uchawi wakurya hawarogeki kirahisi ni mara chache sana kukuta ndoanya mkurya na msukuma inaamani
Wewe ni Mtanzania??Loh! Wala sijui hayo makabila mwikizu? Wasira nae ni wakumgoogle manake simjui π
Alikosea, ilitakiwa akuletee jambiya.Nilikua na demu wa kikuria anaitwa Tina aliniletea panga kama zawadi ya birthday