Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,123
mmh matapel km wanaume wa naijeria
Urongo tuu, watu chuki zimewajaa.
mmh matapel km wanaume wa naijeria
wengi wako kibiashara zaidi nikimaanisha wanapenda pesa zaidi ya penzi .
Niwasaliti kwa wakati wake,
mengine sjui
wa kwenu ndo hawapendi pesa? Wapi huko nije?
mapishi zero. Hawajui kupika kabisaa zaidi ya sukuma wiki na sembe.
Wote wamekeketwa/wametahiriwa hivyo 6x6 hamna kitu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kaka wajua ukisemacho?,,,, wajua mkoa wa nyanza upo sehemu gani ya kenya na wakazi wake ni makabila yapi na yana tamaduni zipi? Hebu fatilia kwanza ndipo useme hayo mambo ya ukeketaji na tohara.
mkuu, makabila yooooote ya huko kenya ukiondoa wale wa mombasa wanawafanyia wanawake huo unyama. Bisha?
Na upishi hawajui. Period!
Mkuu, makabila yooooote ya huko Kenya ukiondoa wale wa Mombasa wanawafanyia wanawake huo unyama. Bisha?
Na upishi hawajui. Period!
Hiyo ni hoja ya nguvu badala ya nguvu ya hoja
Unawajua wajaluo?
ndiyo maana nilikuuliza unajua usemacho?
Zaidi ya asilimia 50 ya wakazi wa nyanza ni waluo ambao hata hapa tanzania, uganda, ethiopia, sudan na congo wapo. Na hawa watu kitu tohara hakipo kwani hata hao wanaume wao zamani na hata baadhi leo kutahiriwa ni mbinde. Hawa watu wanafuga na wakulima wa mazao mengi tu, so unaposema hawajui kupika zaidi ya sukuma wiki na sembe nashangaa......
Walikuonesha lini? weka picha.Mkuu, makabila yooooote ya huko Kenya ukiondoa wale wa Mombasa wanawafanyia wanawake huo unyama. Bisha?
Na upishi hawajui. Period!
Hypocrite....
Embu songesha huku mimi iko taka mkeiii si wajua mimi niko na chapaa nataka nipate manzii mmoja hivi wa kule westii ndio wako poa mazee
Mkuu mbona hasira...., mimi nime state the facts kwamba ushauri uliompa mkuu hapo juu, wewe mwenyewe hauufati which means unakuwa HypocriteIdiot
Ati?
Acha njaro zako mazee.
Hebu furuta iyo handle ya generator Tanesco wamekata stima huku pande ya westiii. Mazee hii stima ya mgao sio mchezo. Ngoja nipande ma-three naelekea pande hii ya mjini.
Tuonane.
Aisee pitia California ukiwa kwenye ma-three ukuje na tusker za baridi na nyama choma si wajuaga huyu mbugua na kimani vile nakuwa na come huku kucheki game pia pitia kwa bank pare kuna manzi mkare kweli alisema sato atakuja home