Wanawake wa Kikenya

Hapo mkuu umeniacha hoi!
Kwa hiyo kama usawa ukiisha basi nimekwisha?

Chomoka kabla halijazama,,, mimi yalinikuta... uzungu kwa sana hata baba yako anataka kuongea nae kama mshikaji tu.. mgogoro mdogo wanaukuuza why? kibao... kuhusu uvaaji ndo kabisa .... wao hujivalia tu na ushauri hawataki labda kama utamshauri kuvaa kihovyo... kwa sis maustaz ndo balaa kabisa labda wale wa pwani ya mombasa.... kifupi kaoe mganda wao wananidhamu lakini lakini si akina mwangi.... (anyway sio wote ) pesa mbele baba ake
 
Mmh kenya majanga nina ndugu na rafiki walioa kenya yakawashnda kwanza wao wanataka wawe kichwa na pia wanapenda mambo makubwa tena si waaminifu
 
Tanzanian ladies(not all)r good ukilinganisha na baadhi ya Wakenya.Of course mimi kama Mkenya nimeoa M-Tz napenda haswa mapishi ya Kitanzania.Kenyan women kwenye kupika. . . . .hapana.But they are very arrogant. . . . .kichwa ngumu(jinsi tunavyosema).
 
Listen to ur heart ndugu yangu kuhusu tabia ni mtu mwenyewe sana sana muombe Mungu akupe macho ya roho uone kama anakufaa kua my wife wako gudluck on dat.
 

Is it only me who's seeing this?....kwanini hamwoni mawaidha first class kama hii?....SMH!
 
Lala la mungu wangu hebu twende chemba mkisiiiii kaa mbali sana, wanaume wao hawairi, halafu wachawi ile mbaya hawajui kupika uwiiiii nitakupa data hapa hadharani noma
Mmmh inaonyesha unayo mengi hebu weka hapa hapa huko chemba wengine si tutakosa sasa
 
nilishawahi kudate na mkenya mara nyng. Ni wazur na wanajua kupenda ila hawapend kuchitiwa. Niliachana nae 7bu kuna siku alinifuma nikidate na mkenya mwenzake. Aisee nilichezea kipgo kw huyu mkenya mpaka nikala kona
 
Mimi nimejaribu ku-date na hawa wanawake wa ki-Kenya aisee ni kazi si mchuzi!!! yaani watata mwanzo-mwisho, kitandani ni wazito mithili ya gunia la misumari, wanapenda pesa kupitiliza. Ukijidai unaoa wanawake wa kikenya jiandae kupata ugonjwa wa PRESHA na uwe na TALAKA karibu
 
wanawake wa kikenya hawafai aisee, ukikutana nao toka nduki kubwa tu
 

Yaani umeongea ukweli kabisa, ni washamba na wa nyanya safi, kupika ndio zero. Na wengi wao hawajui mapenzi kabisa wao wapo wapo tu kutafuta pesa.
 



They are beautiful both tabia na sura and are very dedicated katika mapenzi. Yaani wana tofauti kubwa sana na hiki kizazi kipya cha mademu wa kibongo wenye akili ya bongo movie. In short, tulia naye mkuuu, utavuna.....I swear to you.
 

Follow your heart......wengi wana wapaka tope wakenya coz wako na phobia hawajui kuhandle mwanamke aliewazidi may be kielimu and so on.......Ukikutana name barbie imekula kwako ukipata aliefundwa utastarehe......Don't listen to stories follow your heart & take your mind with you.
 
No matter how sexy or hot a Kenyan girl looks, never date one..
No kusameheana.
Kitandani F..
Too much uzungu.
I also think they look down on us Tanzanians...
 
"Ni mzuri wa sura na tabia yake so far ni poa. Mcha Mungu kiasi na shule kichwani imetulia, na ana career.

Kiswahili ndio hicho hicho cha kuvunjavunja.

Kwa kifupi so far tume-click!"
. Your very own words bro, unataka nini tena? Just go with the flow. Steriotypes tumeziacha analog
 
No matter how sexy or hot a Kenyan girl looks, never date one..
No kusameheana.
Kitandani F..
Too much uzungu.
I also think they look down on us Tanzanians...

alAhahahaaa what are you doing now??? looking down on them! It depends MTU na MTU huezi judge wote coz naamini hujadate wote
 
alAhahahaaa what are you doing now??? looking down on them! It depends MTU na MTU huezi judge wote coz naamini hujadate wote

Most..
I have examples.
However ni baina ya ntu na ntu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…