Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Hahaha, hamniwezi nyie..!
Shauri zako bw shemeji. si unaona wenzako wanavyolalamika kama wajawazito wa mimba za kwanza??
Hahaha, hamniwezi nyie..!
ha ha ha ! penye ukweli badilikeni basi msiwe kama wazee wetu wa CCM hata sehemu ya ukweli wanaumauma maneno hatma yake ina madhari . jamii inapokutazama ikakwambia upo hivi kubali coz ndo wanakutizameni. kwa nn msemwe sana? fikiria usikurupuke ! alafu kubali mapungufu tunawambieni hivi coz ni WaTZ wenzetu tafuta pesa kwa akili si malumbano mwenzio akikosa tu ugomvi.
na hata nyie kwa nyie kabila lenu waume zenu wanajuta kuwaoa je huoni mmepotea sana. so penye ukweli tuseme ukweli ili tubadilike.
Kama kuna sehemu mnakosea jirekebisheni, kwa nini kila mtu anawananga nyie tu, kwa nini nyie tu na sio kabila lingine...kuna kitu hakiko sawa labda..!
Shauri zako bw shemeji. si unaona wenzako wanavyolalamika kama wajawazito wa mimba za kwanza??
Jaribu kuleta hoja kiongozi. Kama watu wanaona tatizo sehemu ni lazima waseme. Sidhani wachafga ndo mti wenye matunda, binafsi siwasemi coz sijwahi ona tofauti yoyote, mine is so sweet. Lakini kama mnasemwa jaribuni kujichunguza..
Hahahaa hizi sasa kashfa
Sikubaliani na wewe hata kidogo. Wadada wangapi wa kichagga wanamaisha mazuri? Wangapi tunaona wameolewa na watanzania wa kawaida Sana na wana maisha ya kawaida Sana? Nenda moshi uone kama kweli hamna wadada wakichagga wanaoishi na mabwana wa hali ya chini sana tena sana tu...!Mkuu sana, mwanamke wa kichaga hawezi kukubali kuolewa na mtu asiye na mbele wala nyuma. Sasa hao jamaa wakishapigwa chini na dreams zao za kuoa wachagga zikiwa haziendi kwenye uhalisia ndo hizo kelele wanakuja kutupigia humu...
We hushangai pamoja na makelele yote humu JF ila huku tunakoishi ndoa za hao mabinti zinafungwa kila weekend. Kusingizia wamama wa kichagga ni makatili na wana roho mbaya ni uongo mtupu, hata hapo mtaani unakoishi pita waulize wauni siku akiwa hana hata senti ya chakula ama msosi ni nyumba gani anakimbilia kama sio kwa Mama Ngowi, Mama Kileo, Mama Mushi
Sikubaliani na wewe hata kidogo. Wadada wangapi wa kichagga wanamaisha mazuri? Wangapi tunaona wameolewa na watanzania wa kawaida Sana na wana maisha ya kawaida Sana? Nenda moshi uone kama kweli hamna wadada wakichagga wanaoishi na mabwana wa hali ya chini sana tena sana tu...!
Tatizo ni obsession inawasumbua walio wengi. Tamaa ya vitu wasivyokuwa na uwezo wa kuvipata katika hali ya kawaida.
Swetie unafanya nini huku Kiboriloni?
Hapo kwenye tamaa umenena mkuu wachaga wana tamaa sana na pesa, wanaotafuta pesa ni wakinga, ukiwa na demu mchaga hakuna story nyingne zaid ya pesa, bora angekua anazungumzia pesa upande wa maendeleo yenu wote lakin utakuta anawaza kwao tu mara ooh twende tukajenge mosh mara oh mwez wa kumi na mbili twende kwetu etc.
Nakuona unavyowapa promo dada zako wakati mi hujawahi kunisifia...kwan mi sijui kutafuta mahela??
Hahahahaa tatizo mmeanza ninyi kashfa. Dada zake mnawang'ang'ania huku mnajifanya kuwaponda....akina sitaki-nataka
Hebu toa uongo hapa.. Mwanamke wa kichagga akiolewa haruhisiwi kulala kwa baba yake wala kaka zake.. Unless ni msiba wa mtu wa karibu sana na huna sehemu nyingine ya kulala.. Sasa umpeleke chasaka kijijini utamlaza kwa nani?
Ukiona demu anapenda pesa jua katoka katika mazingira magum chaguo ni lako kumtafuta mwanamke anae kupiga mizinga auWenzetu mlizaliwa benki au kwenye taasisi ya fedha,unakuta anakuambia pesa kwake ndio kila kitu,unajiuliza amezaliwaje,analipia wapi pumzi yake,umemuoa anapenda malumbano,kitu kidogo anagombana hatari.
Unafanya anavyotaka lakini siku ukishindwa kidogo, yale yote yaliyopita yamefutika pia, kama game zisizo na save option.
Unajuta kuoa, maana kuacha unawaza mwanao ataishije, wewe uliishi bila baba au mama unapenda mwanao afurahie kila uwepo wenu,hutaki apate shida,lakini kwa hili unajikuta unatamani kushindwa kuliko kushinda.
Sikubaliani na wewe hata kidogo. Wadada wangapi wa kichagga wanamaisha mazuri? Wangapi tunaona wameolewa na watanzania wa kawaida Sana na wana maisha ya kawaida Sana? Nenda moshi uone kama kweli hamna wadada wakichagga wanaoishi na mabwana wa hali ya chini sana tena sana tu...!
Tatizo ni obsession inawasumbua walio wengi. Tamaa ya vitu wasivyokuwa na uwezo wa kuvipata katika hali ya kawaida.