Wanawake wa kichaga mkoje?

hahaha pole mkuu kwa yaliyokufika but kumbuka kila mtu dunia hii anapenda pesaaa hata ungeoa mzungu sijui mchina vitu kama hivi ungekutana navyo tuuu
msiwalaumu wao tuuu hata makabila mengine wapo wanaolenda pesa kuliko hata wachaga
 

Kwahiyo unakanusha maneno ya mleta mada au?, mbona husomeki ?
 
Na sijajuta hata siku moja kwani amenifungua macho na naadmit bila kificho kwamba hali yangu ya maisha imebadilika sana for the better katika muda huu wa miaka 12 ya ndo a yetu.Ukishindwa na kasi ya binti wa kichaga just jump ship and just shut the duck up.
 
You can lose your precious stone by staring at worthless rocks.Take care and don't be swayed.
 
Pole kwa msalaba uliobeba
 
Hujajibu swali watu8 ni matambiko gani wanawafanyia yanayowafanye watu wengine washindwe kuishi nao?

Mkuu nadhani ni vyema ukijaribu kuuliza kwa wazee wako wa kaya, mambo mengine si lazima sana kuandika hapa...

Na nilichoandika hakina maana ni kwa familia zote hukutwa na hali hiyo...
 
Aisee mm hata nikipendwa na mchaga nasamehe maana kinachofata pesa
 
Mimi nilikuwa mbishi juu ya hilo kabila nikapata mmoja mpaka nikamtambulisha kwetu na nilipojitambulisha kwao akajua kazi imeisha akaanza vituko na kunisumbua nilimpiga chini na kukata mawasiliano mpaka leo anasumbua tatizo lenu mnawadekeza kwani ukimwacha yeye ndio mwenye K peke yake?Pia kuhofia watoto sio sababu kama mtu anauchezea moyo wako kila siku na kukukera si unamtimua baadae watoto wakikua unatawaeleza kwanini ulimwacha mama yao.
 
umemuoa anapenda malumbano,kitu kidogo anagombana hatari.

Umemuoa anapenda malumbano, okay, kwa hiyo ulikuwa unavumilia au unapenda na wewe malumbano toka mwanzo, sasa kwa nini unalalamika? Unaji contradict! Ni sawa na kusema mwanamke wangu amekondeana sana simpendi tena na shepu yake hii, na nilimuoa akiwa mwembamba sana! Sasa ambacho hukukijua ni nini toka mwanzo?
 
Mtoa mada pole sana...lakini hayo uliyoandika huku sidhani kama yatakusaidia kunusuru ndoa yako

Angalau yanawafumbua macho wadogo zetu na kuwafanya wafikilie mara mbili kuoa huko
 
Mkuu japo sio mara zote ni suluhisho ila tafuta mchepuko. Itakusaidia ukiwa ontop of stress. Ila zingatia zile sheria 10 za kuhandle mchepuko
 
Siku hizi hatutumii stout tena........tunatumia vi Amarok kwendea shambani........si ni ki pick up kile........


mimi nilijua wewe ni Desii wa Yaeda chini...kumbe ni wa chini ya mlima ??
 
 
Rich, hard working, intelligent, educated, beautiful, killers, cruel, fighters( ki-action zaidi hapa mwanaume ukiwa lele mama unapewa zauso)
 
yebo kumekucha mpaka january nadhani itakuwa balaa nijiandae kuvimba mashavu na moyo kuumia kwa misuto mfululizo msimu huu loh

Hebu nitafutie mpora dec hii nivute jikoni nimepamis maduka 7 bila kusahau kwa clara,hivi dada zangu papuchi zenu zina nini hawa vyasaka wakionja 2 wanaanza kunena kma watoa mapepo.yani kila cku dada zetu c wakaoe makwao au dada zao sura y pinda
 
Kuna mtu aliyekulazimisha uwafuate? huwezi si unaacha? yanini kulalamika mziki mbovu kumbe we ndio hujui kucheza?? Ukiona huwawezi we chapa lapa.... wanaowaweza watawachukua na wala hutasikia hiki kilio kama cha fisi mwenye njaa aliyekosa mzoga.

Dada zetu wana papuchi yenye asali n sura nzuri istoshe vyasaka dada zao wanasura kma pinda lazma wasome namba
 
LoL ... Pole! Ila ...cha uvunguni sharti uiname. Na sisi tunao wasio hao na mambo ni hayohayo!! Ni roho ya mtu Bro!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…