samahani ndugu yangu niko inje ya Tanzania zaidi ya miaka 20 nimejikuta hata mimi naanza kujistukia uandishi wangu unanisumbua na upangaji wa maneno nimeasirika na lugha za kigeni huku ninakoishi
namshukuru Mungu kwani sijatamani kuwa na rangi tofauti na niliyoumbwa nayo nikiona kipodozi chenye hydroquinone na zebaki nakaaga mbali sana siwezi jitakia maradhi unakuta mtu usoni mweupe mwilini black. Kuna rafiki yangu kila siku usoni mabaka nkimwambia aache vitube apake lotion yakawaida ni mbishi na ni msomi tuu. Siku hizi wamama watu wazima nao wamekuja juu mashavu yamekuwa mekundu. Tubadilike ridhikeni mlivyoumbwa mnatafuta madhara.
Kwani mtu akijilemba na akajialibu langi yake kuna ubaya gani.......?....kila mtu ana uhulu wa kufanya chochote mladi havunji shelia.......wacha watu wang'ale ng'aling'ali.......
Ulemboo hoyeeeee.......mkologo miaka 800......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.