Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
nalog off Kweli huna mwanamke aliyejing'arisha ....?
hapana ndugu yangu mi sina demu aliyejikoroga ile harufu ya ile mikorogo yao mimi inanisumbua sana huwa inanisababishia mafua.Nalog off
nalog off Kweli huna mwanamke aliyejing'arisha ....?
Mwanamke mng'alo........nang'ala kama taa...... tena mkologo wangu ni wa hatali.....
Mwanamke mng'alo........nang'ala kama taa...... tena mkologo wangu ni wa hatali.....
Kwani mtu akijilemba na
akajialibu langi yake kuna ubaya gani.......?....kila mtu ana uhulu wa
kufanya chochote mladi havunji shelia.......wacha watu wang'ale
ng'aling'ali.......
Ulemboo hoyeeeee.......mkologo miaka 800......
najaribu sana kutokusema lakini nashindwa.Nalog off
ahaaaa team deki miaka 10000!Mwanamke mng'alo........nang'ala kama taa...... tena mkologo wangu ni wa hatali.....
Kumbe kuna "sense of humour" humu ehh? kwikwikwi
Umenifulaisha mno. Walembo wa mkologo basi amjui mnaalibu sula zenu??? Jiteteeni.
Kwikwikwiiiiiii
ahaaaa team deki miaka 10000!
Hatujialibu tunajilembesha meeeen.
qui qui quiiiiiiiiiiiiiiiiii
Mkologo miaka 100000000000!!!!!
Acheni tujikoboe tung'ale kama pichaaaa!
Kwani mtu akijilemba na akajialibu langi yake kuna ubaya gani.......?....kila mtu ana uhulu wa kufanya chochote mladi havunji shelia.......wacha watu wang'ale ng'aling'ali.......
Ulemboo hoyeeeee.......mkologo miaka 800......
hongera yako.Nimesema siachi mkorogo!!
Tena tujikologe hasa.........shosti tinna cute kasema analeta mkologo wa Zaile.......nasikia ni mkali ule.....ni gledi one......wanaweka mafuta ya tlansfoma........
Tena tujikologe hasa.........shosti tinna cute kasema analeta mkologo wa Zaile.......nasikia ni mkali ule.....ni gledi one......wanaweka mafuta ya tlansfoma........
niambie mapema unataka weupe gani wa kiarabu,..kizungu, au kichina???