Wanawake wa kibongo na mikorogo

Wanawake wa kibongo na mikorogo

Mwagitho

Senior Member
Joined
Oct 11, 2013
Posts
111
Reaction score
38
hivi umekuwa ulembo au kujialibu usoni sijui wao wahusika wanajitafsiri vipi au ndio tunaludi kwenye zama za wanawake wa kimakonde za kuchanjwa uso mzima.unamkuta mtu kaalibika uso kama kapigwa bomu usoni.waliobaki na rangi zao za asili ni wachache sana tena ukiwaona unawatamani maana wanavutia
 
Sasa kama kila siku mnasema wanawake weupe ndo wazuri, kwa nini tusijichubue? Siku hizi mahalfcaste hawatustui manake na sie tukitaka tu tunakuwa mashombeshombe.
Weraaaaa weraaaa mkorogo!
 
Kwani mtu akijilemba na akajialibu langi yake kuna ubaya gani.......?....kila mtu ana uhulu wa kufanya chochote mladi havunji shelia.......wacha watu wang'ale ng'aling'ali.......
Ulemboo hoyeeeee.......mkologo miaka 800......
 
Una vituko wewe

Unanikumbusha thread moja sikumbuki ni ya nani ilikuwa na r kibao!
 
Kwani mtu akijilemba na akajialibu langi yake kuna ubaya gani.......?....kila mtu ana uhulu wa kufanya chochote mladi havunji shelia.......wacha watu wang'ale ng'aling'ali.......
Ulemboo hoyeeeee.......mkologo miaka 800......

Wewe unang'ala ng'aling'ali
 
^^
Kutojitambua kwao ni ajira kwetu machinga.
Ladies keep it up
^^
 
hivi umekuwa ulembo au kujialibu usoni sijui wao wahusika wanajitafsiri vipi au ndio tunaludi kwenye zama za wanawake wa kimakonde za kuchanjwa uso mzima.unamkuta mtu kaalibika uso kama kapigwa bomu usoni.waliobaki na rangi zao za asili ni wachache sana tena ukiwaona unawatamani maana wanavutia

Kujichubua ni karaha kwa sie wanaume tusiopenda mambo ya kibongo fleva (feki), na tena mwanamke anayejichubua ana kaharufu fulani hivi akikupitia karibu ananuka harufu ya jike iliyochanganywa na petroli, mafuta ya taa, mavi ya nguruwe, mkojo, na madudu ya hajabu yanayopakwa mwilini ili mtu aji-Wema Sepetu (kujichubua) na kumtoa kasoro Mungu. Yaani mademu sijuwi kwanini mtu hauridhiki na rangi yako? Kazi ya Mungu siku zote haina makosa jamani tambueni hivyo.
 
Kwani mtu akijilemba na akajialibu langi yake kuna ubaya gani.......?....kila mtu ana uhulu wa kufanya chochote mladi havunji shelia.......wacha watu wang'ale ng'aling'ali.......
Ulemboo hoyeeeee.......mkologo miaka 800......

Kumbe kuna "sense of humour" humu ehh? kwikwikwi
Umenifulaisha mno. Walembo wa mkologo basi amjui mnaalibu sula zenu??? Jiteteeni.
Kwikwikwiiiiiii
 
Kwani mtu akijilemba na akajialibu langi yake kuna ubaya gani.......?....kila mtu ana uhulu wa kufanya chochote mladi havunji shelia.......wacha watu wang'ale ng'aling'ali.......
Ulemboo hoyeeeee.......mkologo miaka 800......

Kazi ya Mungu haina makosa na Mungu hakosolewi. Mwenzenu gwiji wa mkorogo Michael Jackson si mlimuona jinsi alivyoharibika mpaka akataka kujirudi? Shauri lenu na ujinga wenu.
 
Mwanamke mng'alo........nang'ala kama taa...... tena mkologo wangu ni wa hatali.....

Mhhhhh, na hizo ndevu za kujitakia je, zinakuja na mkorogo? Tena wakati mwingine utakuta dada kaiva hata ukimsalimia anashindwa kucheka anabaki kukuonyesha meno tu jinsi alivyoharibika na chemicals.
 
imekuwa ni fashion kwa dada zetu sasa hivi, ukipita manzese hadi unawaonea huruma baadhi ni wa mama watu wazima.Mikoani kama mbeya pale unamkuta mtu usoni mweupe miguuni sasa.Kweli hata kama kila mtu ana uhuru lakini kuna haja pia kuangalia athari atakazoipata.Hata mie mwanamke anayavaa wigi (nywele bandia) au aliyejipodoa kweli natokea kuwachukia sanaa.Au yule. anayeacha baadhi ya maeneo ya mwili wake uchi. kweli siwapendi.Kwanini tusiridhike na jinsi Mungu alivyotuumba? kwanini tusiogope madhara tutakayopata baada ya kutumia hiyo mikorogo,hata baadhi ya wanaume pia waanatumia mikorogo.Huu ni ujjinga wa kutojiekewa..
 
hivi umekuwa ulembo au kujialibu usoni sijui wao wahusika wanajitafsiri vipi au ndio tunaludi kwenye zama za wanawake wa kimakonde za kuchanjwa uso mzima.unamkuta mtu kaalibika uso kama kapigwa bomu usoni.waliobaki na rangi zao za asili ni wachache sana tena ukiwaona unawatamani maana wanavutia

Sema 'analala' 'rehani' 'raha' 'lalama' 'karaha' rudia hivyo mara 150 kisha edit post yako!!
 
Mikorogo ndo habari ya mujini kamuulize maimatha!!
 
Back
Top Bottom