wanawake wa kiafrica....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanawake wa kiafrica.......

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jestina, Jul 17, 2011.

 1. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  wanachukulia cheating ya mwanaume kama everyman s habit unlike women in the west,hawatolerate cheating ndio maana kwao divorce rate ziko juu compared to africa,

  nauliza je hatuko confident kama wanawake wa mabara mengine?nani alitufundisha kutolerate cheating?wazazi wetu au?
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wewe usipotoshe wenzio hapa

  wanaume wa kiafrika kwa miaka mingi tuna ruhusiwa kuwa na wake wengi
  utamaduni wa kuwa na mwanamke mmoja sio wa kiafrika
  umeletwa na wazungu na bado tunajifunza
  wale wanaoshindwa sio kuwa wana cheat
  bali wanachumbia........
  mwanaume wa kiafica ha-cheat
  ila anachumbia
   
 3. BabyGal

  BabyGal Senior Member

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni upuuzi tu na kutokujiamini.

  Na wanaume wenyewe ndo kama huyo mchangiaji hapo juu.Alafu wanashangaa wadada wakiwapapatikia wazungu (kwa wale wasiokimbilia pesa).
   
 4. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  napita.
   
 5. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ........natamani hili somo kila mwanamke apate, hakuna kuoneana kwenye mapenzi siku hizi. Yaani I wish kila mwanamke aambiwe ukiona mumeo anacheat muache. Mimi roho yangu inauma kuona wadada wanakufa bado wadogo sababu ya kuvumilia kwenye ndoa ambayo mume alikuwa cheater.
  Tatizo baadhi ya wanawake wanategemea wanaume kiuchumi, hivyo hata mumewe akiwa anacheat inakuwa ngumu kutoka kwenye ndoa.
   
 6. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  off topic the boss....
  cheating na ndoa za mitala ni vitu viwili tofauti....kaanzishe mada yako ya wanaume kuoa wake wengi.....
  the bottom line hakuna mwanamke ambaye yuko tayari kushare mwanaume wake anayempenda na mwanamke mwingine,wanaofanya hivyo wana sababu zao mainly ikiwa kutojiweza kiuchumi ama insecurity kuwa labda ana watoto tayari.....

  so,unaposema unaruhusiwa na nani hasa anayekupa ruhusa hio,by the way culture inaevolve hairemain static ndio maana leo tunavaa nguo sio vibwaya na kutembea uchi kama ilivyokuwa tamaduni.....
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  unaanzisha mada huku uelewa wako mdogo kabisa
  unajua tafsiri ya mke???????
  unajua culture inayoruhusu ndoa zaidi ya mwanamke mmoja vizuri?
  wanawake wangapi matajiri na wanaolewa mitala?
  aliekwambia waafrica walitembea uchi zamani ni nnani?
  unaijua historia wewe vizuri??????
   
 8. d

  dorry Senior Member

  #8
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Yaani usisikie da Pretty, ninauguza mama yangu mdogo hivi hivi, kisa kuvumilia ndoa. Tulijaribu kumshauri mama mapema lkn alikuwa akiishia kusema tu "mwacheni akichoka atarudi". Kurudi karudi na vidudu na ameshatangulia. Yaani mie ndo nakerwa kupita maelezo.
   
 9. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160

  thanks,uelewa wangu mie mdogo why bother answering my posts.....???
  hakuna mwanamke anayekubali kushare mwanaume na mwanamke mwingine UNLESS ana sababu either watoto au kiuchumi ni dependent...period...
  sasa unabisha kuwa hata nguo ni utamaduni tulioletewa??????mnh mie ligi zisizo na kombe siziwezi.....
   
 10. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,087
  Trophy Points: 280
  Kweli Pretty wewe ni untorelant...umeleta mada watu wakianza kujadili tayari unapanic na kuwa na jazba,kama hauna ngozi ngumu why do you look for challenges?

  The boss umeongea vyema hawa madada ni blind of their African Culture,they end up immitating the whites while calling themselves Africans,shame on you women...ni nani anawafool eti nyinyi ni wa-Afrika?kama kweli bado tuna waafrika basi wamebakia vijijini na kamwe si nyinyi wa mjini,ndo maana mnaangaika kupretend Africans b'se yet you really lack African spirits as women
   
 11. k

  kisukari JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,763
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  kwa kweli inatilisha huruma,nina rafiki yangu mnigeria,mume wake ana nyumba ndogo na watoto juu.yeye analijua.maneno yake,i will keep praying to God.divorce in Africa is like a taboo.juzi juzi,huyo mume kapata nyumba ndogo nyengine,bwana ameulizwa,amekubali.bado maneno yake ni yale yale,i will keep praying and talk to pastor.huyo dada hamtegemei kitu huyo mume,ila angalau awe na mume jina,huyo dada ametulia mno,yeye na dini,dini na yeye
   
 12. BabyGal

  BabyGal Senior Member

  #12
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watu wengine hamna hata haja ya kujaribu kuwaelewa maana hata wenyewe hawajielewi.
   
 13. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo hapo The Boss unamaanisha kuwa cheating ni halali. Na kama ni halali (coz unaita kuchumbia), je kwanini huwa wanafumaniwa na wanatozwa faini hata kama hajakutwa na mke wa mtu?
   
 14. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Mambo ya cheating ni magumu kuongelea wala kumshauri mtu. Kinachofanya watu wabaki si pesa na watoto tu. Si wanawake wote wanapo kuwa cheated mapenzi yanaisha hapo hapo. Kuna wanawake wana amini kwenye second chance na usemi wa kosa si kosa bali kurudia kosa. Ni haki kumshangaa mwanamke anayeishi na mwanaume anayecheat now and then. Lakini wanawake asilimia kubwa kwenye ndoa wanatoa misamaha ndio maana ndoa zinaendelea. Na nadhani ni rahisi kumsamehe mumeo kama mapenzi yenu yameanza mbali si wale mliooana juu kwa juu. If you have a lot of good memories you share mtagombana sana ukijua amecheat lakini hutamwacha kwa first incidence.
   
 15. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #15
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahahah looohh
  kazi kweli kweli

  ndo maana mie nime mtafutia wangu
  nyumba ndogo......
   
 16. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mwanaume ni mwanaume tu awe mzungu, mchina mwarabu ama mwafrika. Kuna cheating scandals za kila aina ktk kila race. Kuanzia akina Bill clinton, Schwazzneger, Tiger Woods hadi akina fundi Hamisi
   
 17. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,496
  Trophy Points: 280
  Jamani nani kasema wazungu hawa-cheat? Hebu kaangalie Cheaters on etv. Strauss Khan ana-cheat na mke wake bado anampenda na hawajaachana. David Beckam amecheat na bado maisha yanaendelea poa na mke wake na tena sasa wameongeza katoto kengine. List ni ndefu-Wayne Rooney,Ryan Gigs, Bill Clinton, John Terry n.k. Je hawa si wazungu? Mbona wame-cheat na wanaendelea na maisha na wake zao? Kama dada zetu mnapenda wazungu, muwapende kwa sababu nyingine na sio uaminifu. Uaminifu hauna rangi, kabila, dini, cheo, elimu, maskini au tajiri.
   
 18. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,496
  Trophy Points: 280
  The Boss,
  Kwa hili, we are on the same page. Umeenda kisomi zaidi kwa kuelezea tofauti ya tamaduni za wazungu na waafrika.
   
 19. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Kama mwakumbatia tamaduni, kwanini almost 50% yenu ni wakristu ambao hamruhusiwi kuwa na wake wengi? Kwanini msibaki na dini zenu za kitamaduni? Au huo utamaduni mwauchuja na kupick what to continue with? Pia as s/body mentioned utamaduni unaevolve; na majority wenu wazazi wenu were Christians with ndoa ya kikristu, so where did u learn hiyo poligamy, au wataka kusema mmerithi genes from ancestors?Tamaduni ambayo mmeikuta ni baba zenu kucheat, kuwatishia mama zenu (kuwapiga) na mama zenu kuvumilia; ndicho mlichoexperience na ndicho mnachokifanya!Nampongeza yoyo kwa kupata mume anayemjali (Mzungu), l wish wanawake wa kiafrika wangepata wanaume wa kizungu na nyie waume mpate wanawake wakizungu, ndio akili zingewasogea!But l am sure; with frequency za post zinazozungumzia kero za kina mama ktk ndoa, most women r awakening now!
   
 20. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Je hao wote bado wako kwenye ndoa? Or hizo ndoa zinafunction? Kwa case ya Clinton for example, r they real a couple kwa ndani au on the outside tu?Mtoa mada alisema, westerners don't takebulls..t kwenye ndoa n that's y divorce rate ni kubwa tofauti na huku; na mimi nafikiri ndio maana huku rate ya maambukizi ya VVU kwa wenye ndoa ni kubwa kuliko kwa wenzetu! Imagine kina mama unavumilia ndoa for the sake ya watoto after few yrs, unakufa kwa ukimwi!
   
Loading...