Wanawake wa Kenya wazikataa 'Pedi' za Always wakidai zinawatesa

sioni haja ya kuziponda always kila mmoja atumie anazoziona comfortable. wale wa tampons haya, wale wa reusable haya, wale wa Human cherish haya, wale wa cups haya yote ni uchaguzi tu.
Word
 
Sio kwamba zina watesa ni hivi Kebs mamlaka ya kukagua ubora na viwango ya kenya imekuwa ikilalamikiwa hivi karibuni kwa kukosa umakini na ufanisi. Licha ya uwepo wa bidhaa izo feki pia3 weeks ago kuna sukari ilikutwa imeingia sokoni ilihalinsukari iyo ilikuwa ina madhara kwa afya ya bianadamu licha sukari iyo ilikuwa na chapa ya Kebs
 
Kuna Watu nikiwa nawajibu hovyo au kuwaiteni ' Wapumbavu ' naomba msiwe mnalalamika badala yake muwe mnajipigia tu Makofi kwa huo Upumbavu. Nimeleta Habari hapa nikisema wazi kabisa kuwa Wanawake wa Kenya wanalalamika hizo Taulo / Sodo zao zinawatesa kwakuwa zinawawasha mno pindi wanapozivaa / wanapozitumia na hadi nimekuwekea na Chanzo cha Habari hiyo kuwa ni Citizen Tv Kenya halafu linajitokeza tena ' Lipumbavu ' limoja bila hata ya kwenda na Kujiridhisha huko Citizen Tv Kenya au hata basi azipitie tu zile ' Comments ' za Watu na linanibishia na kuja na Hoja nyingine ambayo hata haipo sijui ya Sukari na Upuuzi mwingine. Hivi ni kwanini baadhi yenu mnakuwa hamna Akili?
 
We ni mwehu sana unajua ? Iv bidhaa mpaka inafika sokoni si lazima ichekiwe ubora ?na usala kwa afya ya mtumiaji... Ss bidhaa ishafika sokoni ni imebainika ina waletea kadhia ya kiafya kwa mlaji ...then the root cause ya tatizo ni utendaji mbovu wa KEBS .... Mm comment nimeenda extramile kujaribu kucheki sababu ya uwepo wa sodo mbovu ni zipi ? Tuliza akili yako kuwa mchambuzi na mdadisi
 
  • Thanks
Reactions: Oii

Mpumbavu huyo, angalia anavyoiita vagina. Ati mbunye, unaweza tambua personality ya mtu kwa vitu vidogo tu, mpumbavu huyo hujiita mtutsi na anaamini watutsi ni superior race in africa.
Ni **** tu, wa kupuuzwa most of the times.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kweli kuna shida uchunguz yakinifu ufanyike maana kiungo cha mwanamke hakihitaji kufanyiwa majaribio.
 
We ni mwehu sana unajua ? Iv bidhaa mpaka inafika sokoni si lazima ichekiwe ubora ?na usala kwa afya ya mtumiaji... Ss bidhaa ishafika sokoni ni imebainika ina waletea kadhia ya kiafya kwa mlaji ...then the root cause ya tatizo ni utendaji mbovu wa KEBS .... Mm comment nimeenda extramile kujaribu kucheki sababu ya uwepo wa sodo mbovu ni zipi ? Tuliza akili yako kuwa mchambuzi na mdadisi

Idiot.
 
Back
Top Bottom