Wanawake wa JF!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wa JF!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, May 7, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 9,804
  Likes Received: 1,189
  Trophy Points: 280
  Huwa nashawishika kusema wanawake wa JF huko mnakoishi ni mabingwa kwani maskil mnayopata humu yanawasaidia ku run life kwani uhisi hamuwezi kudanganywa na mtu yeyote yule kuhusu swala la mahusiano!! Nazaidi kutokana na maujanja mnayopata humu mnajua shughuli si kitoto!!Hilo mimi ninalitambua!!Ila niuwezo sina ningetamani niwaoe wote niwe kama King Mswatti!Emungu bariki!!
   
 2. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hujawahi sikia mganga hajigangi??...
  ukute tumejazana magogo tu humu:happy:
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,045
  Likes Received: 18,557
  Trophy Points: 280
  yaani wewe na wanawake wa jf.......
  ni thread mpya kila siku......
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  May 7, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha KK bana hata mie nakupenda ujue toka umebadilisha msimamo
   
 5. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nahisi huyu KK atakuwa mtu wa aibu sana mbele ya wanawake,halafu pia ni domo zege ndio maana frustrations zake za kurusha ndoana anazitolea humu JF :happy::happy:
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,750
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  hahaha! hata mi moyo wangu umeanza kumdondokea.
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 9,804
  Likes Received: 1,189
  Trophy Points: 280
  Asante kwani hata mimi nimo mbioni kukuwekea kasiledi kako!!lol
   
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 9,804
  Likes Received: 1,189
  Trophy Points: 280
  Ngoja ni nisafishe inbox yangu ili pm zisije zikastaki!!
   
 9. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  mh! KK naona umejivua gamba.....:nono:
   
 10. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #10
  May 7, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,564
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mapenzi hayana mwalimu the more unapata mafunzo na mifano bado katika hali halisi unaona kama haikuhusu wewe mpaka likukute ndio utakumbuka kusema nilisikia mahala. kwa hiyo hata usome thread ngapi kama bado halijakukuta huwezi jua kabisa
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  May 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160


  KK utanisamehe.... nimeona hapo tu kwenye red, nimeanza maombi rasmi uweze fanikiwa huo uwezo......
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  May 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,750
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  hahahaha! Fanya upesi. Nishatuma 3 delivery report haijarudi.
   
 13. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,814
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  KK kwa mabinti.,,,kama kipara kwa shaolin..!!
   
 14. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #14
  May 7, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,564
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Bila mabinti kutakalika kweli
   
 15. florence

  florence JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hee? uko unakoelekea hataaaaa, yan mfano wa mswati umenitoa kijasho.
   
 16. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #16
  May 7, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,564
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Atawaweza na kuwatimizia wote?
   
 17. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 9,804
  Likes Received: 1,189
  Trophy Points: 280
  Mimi sijisifii!!ukitakakujua utamu wangoma ni uingie ucheze!
   
 18. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 9,804
  Likes Received: 1,189
  Trophy Points: 280
  Nitake radhi!!lakini ndo mamazangu kwani wewe humpendi mamayako??
   
 19. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 9,804
  Likes Received: 1,189
  Trophy Points: 280
  Nakuheshimu hata wewe unanichakachua??nooooo Husninyo
  Nakuomba heshima iendelee kuwepo!!!
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  May 7, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Haya wenye uhitaji KK huyo leo kaweka mambo hadharani.....
   
Loading...