Wanawake wa JF wana akili na upeo mkubwa wa kupambanua mambo kuliko wanaume

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
24,329
2,000
Kweli kabisa wanawake wa JF mnajitahidi kwa kiwango cha juu
Habarini za wakati huu wanajamii forum poleni na mihangaiko ya maisha:
Leo kuna kitu tukizungumzie kwa umakini magreater thinkers Kutokana na utafiti wangu kwenye platform hii ni kwamba::
Kwanza; imeaminika wanawake wa Jf wana umri mkubwa kuliko wanaume kwenye hii platform hii ndomaana imefanya wanaume wakati mwingine kuja na mada kama wanawake wa Jf wabaya, waliokosa mwelekeo, Malaya nk
Kingine wanawake wa Jf wamekuwa wawazi kujitokeza kutaka wame au wenza huku wakiwa wawazi kuelezea maisha yao ya nyuma kama kuwa na mtoto au kuwahi kuolewa na kadhalika. Pia hata uwasilishaji wa mada zao nyingi ni wakupevuka mfano mada za ushauri katika Jamii, mahusiano na hata nyanja za kisiasa
Lakini wanaume wa Jf wamekuwa na mada nyingi za kitoto mfano punyeto au chaputa, kuzama chumvini na nyingine nyingi za ngono ...quite different na uwasilishaji wa wanawake...mfano wanaume wenzangu anakuja anaelezea scene nzima ya kumla mtu Tigo au kuwala machangudoa na mijimama au wakati mwingine wake za watu nk
My take
Jf kuna teenagers wengi tofauti na watu walivyojiaminisha kwenye vichwa vyao lakini kuna watu wanaojielewa na wanapaswa kuitwa great thinkers kweli na wengiwao wanatoka jinsia ya kike.
 
namriny

Senior Member
Mar 21, 2020
157
250

Upo sahihi
 
maji ya gundu

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
2,508

kua muwazi haimaanishi kua una upeo mkubwa

kua funny haimaanishi una uwezo mdogo wa kupambanua mambo
 
secret file

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
4,111
2,000
Sasa kama wanaume wanaacha kujadili vya maana wanajadili wanawake tu wanategemea nini?
Wanachojua ni matusi tu na kuwaza ngono😎😎
Hapa duniani kitu tulichopewa na tunachokitazama ni mwanamke/wanawake they are so amazing.....
vingine vyote ni ziada....
kuangalia pambo linalotembea si mchezo...
 
Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
7,717
2,000
Humu JF Kuna wazee wengi tu mbona, na hizo mada za kitoto ni zao humu kwa wingi halafu wanawake huwa tunawafichia wanaume madhaifu mengi na huwezi kukuta tunaanzisha mada za kizalilishaji kwa wanaume, Mimi niungane na wewe wanaume asilimia kubwa humu ni makubwa jinga hasa MMU

MMU ni kwa wavulana, sio kipimo sahihi.... hata wazee (wachache) wenye madini yao wakiingia kule ni kuchangamsha genge kuendana na hadhira.
 
martinezstavo

JF-Expert Member
Jun 30, 2020
655
1,000
Acha shobo wewe, mada za ajabu unazoziona kuanzishwa na wanaume inategemea na forum unayopenda kutembelea. Kuna forum konzi na nzito mada zinazomwagwa mule kuanzia page ya kwanza hadi 200 hukuti uzi ulioanzishwa na mwanamke. Anza kuingia vijiwe vya wanaume uwajue vinginevyo utaendelea kukumbana na wavulana na kuendelea kuamini mawazo yao wanawakilisha wanaume woteMuanzisha mada anatutemea mate
 
Kwizer

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
424
1,000
Unakaa kushinda Habari na Hoja Mchanganyiko na kule MMU unategemea utazungumza cha maana! Wala sikushangai.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom