Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,228
Kweli kabisa wanawake wa JF mnajitahidi kwa kiwango cha juu
Habarini za wakati huu wanajamii forum poleni na mihangaiko ya maisha:
Leo kuna kitu tukizungumzie kwa umakini magreater thinkers Kutokana na utafiti wangu kwenye platform hii ni kwamba::
Kwanza; imeaminika wanawake wa Jf wana umri mkubwa kuliko wanaume kwenye hii platform hii ndomaana imefanya wanaume wakati mwingine kuja na mada kama wanawake wa Jf wabaya, waliokosa mwelekeo, Malaya nk
Kingine wanawake wa Jf wamekuwa wawazi kujitokeza kutaka wame au wenza huku wakiwa wawazi kuelezea maisha yao ya nyuma kama kuwa na mtoto au kuwahi kuolewa na kadhalika. Pia hata uwasilishaji wa mada zao nyingi ni wakupevuka mfano mada za ushauri katika Jamii, mahusiano na hata nyanja za kisiasa
Lakini wanaume wa Jf wamekuwa na mada nyingi za kitoto mfano punyeto au chaputa, kuzama chumvini na nyingine nyingi za ngono ...quite different na uwasilishaji wa wanawake...mfano wanaume wenzangu anakuja anaelezea scene nzima ya kumla mtu Tigo au kuwala machangudoa na mijimama au wakati mwingine wake za watu nk
My take
Jf kuna teenagers wengi tofauti na watu walivyojiaminisha kwenye vichwa vyao lakini kuna watu wanaojielewa na wanapaswa kuitwa great thinkers kweli na wengiwao wanatoka jinsia ya kike.