Wanawake wa JF mnaopenda ku-flirt na wanaume msiowajua!!

PM ni nini. na wewe inamaana huchati na watu humu JF. Ulijuaje kama kuna wanawake wanachart hadi usiku wa manane?
basi na wewe umo. kwahiyo mume wako atakuwa zezeta basi
 
Hahaha!! Babu banaa unajua Fidel alienda Fea Wei akamuhonga Eliza laptop matokeo yake ndiyo haya sasa amelog-in imekuwa balaaa

Yule alitangulia mbele ya haki babu mwenyewe analijua hilo ila sasa naona kuna harufu ya mjukuu kaiba laptop
 
....ha ha ha ah ahhhahahaha!

yani wewe ndo umeshindwa kabisa kujificha!...mpwa bana hahahahahahahah!
Hahahaha!!! Teamo mimi niliishamsoma kitambo huyu ameshindwa kujificha kabisa :lol::lol:
 
Heee heee heee!!!
Wachekesha (source:FF)
Kama vp jinyonge tu,Tunaye tunamgawana kwa zamu,
Chezea wadada wa JF Utalala hoi BIBI,
Ongeza mapovu mtoto wa kike,Ni wako akiwa kitandani tu zaidi ya hapo tunaye sisi lol!

Heee sasa na wewe povu la nini huyo ni Eliza wa Tegeta
 
We unachanganya wa King Star na wa Zero Pub.

Hivi yule dogo CPU kapotelea wapi?

Duhh na wa pale If not je? tatizo naomba omba namba mpaka nasahau nimcheck kwenye phone book nina akina Eliza 30 sijui ni yupi sasa.
 
Naumiza kiiichwa!! Kumbe hili likongwe la hapa!! Tayari nimeshalishtukia
 
ha ha ah ha!.....

hii kesi ya hii aidii inabidi auziwe nani hii wajameni?

tupige kura kati ya hawa:
teamo
asprin
cpu
ld
askofu

Aiseee... Teamo....
Sasa huyu Askofu kawa Eliza tena wajameni....

Ngoja nimuombee huyu Eliza ana pepo
 
Jamaa kabadilisha ID, ili aseme kilichomo moyoni mwake.......inaonekana mchezo huo unao sana wa kuchat na wake za watu....wamekukataa, sasa unajifanya mwanamke....
 
Heee heee heee!!!Wachekesha (source:FF)Kama vp jinyonge tu,Tunaye tunamgawana kwa zamu,Chezea wadada wa JF Utalala hoi BIBI,Ongeza mapovu mtoto wa kike,Ni wako akiwa kitandani tu zaidi ya hapo tunaye sisi lol!
ahsante canta! umewakilisha,mdada amemezeshwa mijusi mibichi basi mipovu inamtoka tu!!!acha tumsaidie kumtunzia mume!!
 
Back
Top Bottom