Wanawake wa JF mnaopenda ku-flirt na wanaume msiowajua!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wa JF mnaopenda ku-flirt na wanaume msiowajua!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eliza wa Tegeta, Dec 7, 2011.

 1. Eliza wa Tegeta

  Eliza wa Tegeta JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hovyoooooooo!!!
  Kazi kushinda kwenye PM na wanaume hata kuwajua hamuwajui, wenyewe mnajifanya mnachart, unachart na mtu humjui?
  Chat gani hizo za saa nane, tisa usiku, mnataka nini!! hamna wame nyie? au hao wame enu mazezeta sana, mmewaendea kwa waganga. Au wame zenu wapole na mnawaona wapuuzi???

  Nawauliza nyie wanawake wa JF, hasa nyie mlioolewa nyie, mwanamke umeolewa, lakini wewe na mtandao, mtansdao na wewe...ok, basi sio mbaya kuwa mtandaoni, lakini mtandaoni kazi ni PM, kuflirt na wanaume hata kuwajua hamuwajui, wengine mna-flirt na marafiki wa waume zenu bila kujijua.  Nitarudi, ngoja nigeuze samaki wanaungua.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo unatakaje......?...halafu wame ndio kitu gani....?.......
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mwandiko wa mwanaume huu sio mwanamke, nimekustukia
   
 4. Eliza wa Tegeta

  Eliza wa Tegeta JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe umeona nini hapo......chagua unachotaka.
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Usiumize kichwa mwanaume huyo
   
 6. Eliza wa Tegeta

  Eliza wa Tegeta JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwandiko wa mwanamke ulelala kifudifudi au chali?
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Umejuaje kwanza kama wewe huwa hufanyi hivyo?
   
 8. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Kazi kweli kweli. Kuna aliemPM mumewe?
   
 9. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #9
  Dec 7, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Aseeeee!!!
  Duh!!
  hali ya hewa imechafuka hapa.
  mimi huyoooooooo ngoja nikamtafute Rejao kule kwenye posho za wabunge.
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Wewe Ni Mods unaingia kwenye PM zetu?? na kitu gani kinakuumiza sana mdada hata kama sie tunachat
  Kijiba Pole !
   
 11. Eliza wa Tegeta

  Eliza wa Tegeta JF-Expert Member

  #11
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We naweee, hebu toa mpua wako hapa.
  Unachekesha!
   
 12. Eliza wa Tegeta

  Eliza wa Tegeta JF-Expert Member

  #12
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio nyie nyie.
  kuolewa mmetaka, na wa wenzenu mnawataka.
   
 13. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #13
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Umeibiwa mume na mwanamke wa JF? Mbona unalalamika kama umebanwa na mshono?
   
 14. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #14
  Dec 7, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Una hamu ya kuchati na mimi? twen zetu chemba!! yaelekea unapenda sana PM wewe!!
   
 15. Eliza wa Tegeta

  Eliza wa Tegeta JF-Expert Member

  #15
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hujasoma unakurupuka kama umeshikwa kalio!!
  hovyooo
   
 16. Eliza wa Tegeta

  Eliza wa Tegeta JF-Expert Member

  #16
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jisachi mifuko ya nyuma
  utakuta umelowa!
   
 17. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #17
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
 18. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #18
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo wewe kinakuuma nini??? Mm nikiwa na chat na mtu yoyote 24/7 wewe inakusumbua kitu gani??? Hebu jaribu kuandika kwa umakini zaidi labda tutakuelewa point yako maana hapo huna la maana uliloandika. Pole sana kama una bwana/mume ambae anaku ignore saa tisa usiku halafu ukagundua yuko busy na PM za JF. Lazima utakua na kasoro sio bure........na kama style yenyewe ndio hii basi hata huyo bwana hawezi kuwa na hamu na wewe loooh!!!
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Dec 7, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahaha Join Date : 4th December 2011 :nerd:
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  Dec 7, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ha ha ha!.......kazi ipo.

  haya eliza-wa tegeta
   
Loading...