Wanawake wa JF mnaopenda ku-flirt na wanaume msiowajua!!

Hovyoooooooo!!!
Kazi kushinda kwenye PM na wanaume hata kuwajua hamuwajui, wenyewe mnajifanya mnachart, unachart na mtu humjui?
Chat gani hizo za saa nane, tisa usiku, mnataka nini!! hamna wame nyie? au hao wame enu mazezeta sana, mmewaendea kwa waganga. Au wame zenu wapole na mnawaona wapuuzi???

Nawauliza nyie wanawake wa JF, hasa nyie mlioolewa nyie, mwanamke umeolewa, lakini wewe na mtandao, mtansdao na wewe...ok, basi sio mbaya kuwa mtandaoni, lakini mtandaoni kazi ni PM, kuflirt na wanaume hata kuwajua hamuwajui, wengine mna-flirt na marafiki wa waume zenu bila kujijua.

Nitarudi, ngoja nigeuze samaki wanaungua.

Baelezee bamezidi bana!
 
Dah mume kakuziria kitanda usiku kucha kisa kadata na pm za wadada wa jf ?
Unalo bibi
na utapata tu talaka mwaka huu
wadada wa jf tupo juu
njoo tukufunde kabla hujaachwa wewe mjini hapa
 
wewe ni mwanamke mpuuzi kuliko wote walio jf...waambie wenzako wakufundishe namna ya kuishi hapa jamvini! Hata wiki huna umeshaanza kutumia lugha za kwenye madanguro
sijui kaachwa maana mwanamke akiachwa anakuwa na hasira sana dah mimi nilikuja na hasira ya kuachwa hapa ila si hv jamani
 
Hovyoooooooo!!!
Kazi kushinda kwenye PM na wanaume hata kuwajua hamuwajui, wenyewe mnajifanya mnachart, unachart na mtu humjui?
Chat gani hizo za saa nane, tisa usiku, mnataka nini!! hamna wame nyie? au hao wame enu mazezeta sana, mmewaendea kwa waganga. Au wame zenu wapole na mnawaona wapuuzi???

Nawauliza nyie wanawake wa JF, hasa nyie mlioolewa nyie, mwanamke umeolewa, lakini wewe na mtandao, mtansdao na wewe...ok, basi sio mbaya kuwa mtandaoni, lakini mtandaoni kazi ni PM, kuflirt na wanaume hata kuwajua hamuwajui, wengine mna-flirt na marafiki wa waume zenu bila kujijua.

Nitarudi, ngoja nigeuze samaki wanaungua.
Pole zako,labda nikusaidie tu,humu ndani watu wana uhuru wa kuchati na yoyote wakati wowote ili mradi wote wameamua kufanya hivyo,

Haijalishi ni mume wa mtu au mke wa mtu,km ww ni mwanaume km wataalamu wa mambo wanavyosema utakuwa unajichoresha bure,km ni mwanamke na una uchungu na mumeo ile hali yeye anaenjoy kuchati mwambie tu ajitoe JF kwan hata ni mie nikimkuta online nitachati naye,

Na kutokujuana humu ndio raha na lengo la hii forum ili kila mtu aseme anachotaka kwa uhuru ndio maana tunatumia picha na majina ya bandia km ww,ila tukinogewa tunaambia majina halisi picha na namba za simu,then tunaonana na mambo mengine yanaendelea,

Punguza tu kutoa povu,km mumeo anachelewa kuingia kitandani kwa ajili ya kuchati,jua anaochati nao wamekuzidi ujanja na wanamfurahisha zaidi yako,
Bado umelala amka jipange na utafute maujanja umkoleze mmeo asahau JF,
Pole zako.
 
Eliza wa Tegeta,
avatar mbaya,
thread mbaya,
tena bado una matongotongo
si ungeosha hata huo uso kwanza ili uone.

SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA

wengine ni wehu!!...........if you cant swallow it, omba upigwe sindano.
 
Pole zako,labda nikusaidie tu,humu ndani watu wana uhuru wa kuchati na yoyote wakati wowote ili mradi wote wameamua kufanya hivyo,

Haijalishi ni mume wa mtu au mke wa mtu,km ww ni mwanaume km wataalamu wa mambo wanavyosema utakuwa unajichoresha bure,km ni mwanamke na una uchungu na mumeo ile hali yeye anaenjoy kuchati mwambie tu ajitoe JF kwan hata ni mie nikimkuta online nitachati naye,

Na kutokujuana humu ndio raha na lengo la hii forum ili kila mtu aseme anachotaka kwa uhuru ndio maana tunatumia picha na majina ya bandia km ww,ila tukinogewa tunaambia majina halisi picha na namba za simu,then tunaonana na mambo mengine yanaendelea,

Punguza tu kutoa povu,km mumeo anachelewa kuingia kitandani kwa ajili ya kuchati,jua anaochati nao wamekuzidi ujanja na wanamfurahisha zaidi yako,
Bado umelala amka jipange na utafute maujanja umkoleze mmeo asahau JF,
Pole zako.
umejitahidi sana, omba kazi kwa shigongo.
unijui sikujui. Mi mwenyewe mtaalamu.
 
sijui kaachwa maana mwanamke akiachwa anakuwa na hasira sana dah mimi nilikuja na hasira ya kuachwa hapa ila si hv jamani
huyu hawezi kuishi na mwanaumume wa aina yoyote. Domo chafu ka hili utapeleka wapi?
 
Mwandiko wa mwanaume huu sio mwanamke, nimekustukia

Usiumize kichwa mwanaume huyo

ha ha ha!.......kazi ipo.

haya eliza-wa tegeta

Hivi hii tegeta hii, yani hii sio ile ya pale Singida hii kweli!!

aseee!!!

Hahahaha....... mazee naona mnakonekti dots za Eliza wa Zero Pub ambayo iko Tegeta siyo?

Fidel si ulichukuaga namba zake?

Dah! Nimekumbuka kokoto ghafla! If Not Why Not?
 
Back
Top Bottom