Wanawake wa JF mnaopenda ku-flirt na wanaume msiowajua!!

ahsante canta! umewakilisha,mdada amemezeshwa mijusi mibichi basi mipovu inamtoka tu!!!acha tumsaidie kumtunzia mume!!
Pamoja mamito,
Tena huyu anatuogopa mbona kabadili ID,
Japo nishamhisi ni mwanaume ila Vidonge vyetu lzm ameze kwa kujibadili jinsia lol!
Kashindwa kumpa maneno matamu MMEWE,mpaka anakesha na sie JF!!
Umeshindwa kumkuna katuletea kipele wadada wa JF tumejulia kumkuna!
Bila kujijua Mmeo kakolea anasikilizia unajishangaa kubaki kitandani peke yako pole!
 
mh! Jamani wanawake wenzangu mbona hivyo? Mi naona kila mtu ange mind mambo yake ingekua poa sana. Hapa hatujuani na wala hatuhusiani. Unajua kila mtu ana maisha yake na matatizo, stress zake, frustration zake na zaidi na zaidi. Hebu tuache kila mtu afanye yake. Samahani kama nitawakwaza ila sipendi mambo ya kushushuana humu jamvini badala ya kujadili mada nyeti ambazo hata wasio wanachama wanazifuata ili kupata updates na kujifunza!
 
Afadhali wewe umetumia busara. Leo ninao tu, wanaofikiri nimevunja sheria za JF waende kwa Max.
Wanaofikiri mi mshamba, waninunulie power tiller
wanaofikiri wananijua, waje kununua samaki hapa gengeni basi.
:juggle:
Bila ya wasi Eliza wa Tegeta ni Premium member..........
 
Umesema vema, ila naomba kuongeza na wanawake wenye akili ya kiume kaeni pembeni.

Wanaume wote wa JF jukwaa hili la MMU by the powers vested in me by myself nawakataza kuchangia hii mada na kuwaagiza kila mmoja achukue bia na kuagiza nyama choma au popcorn na kukaa pembeni. Tuwaache dada zetu wapeane elimu. Ila mnaruhusiwa kuendelea kuzungumza kwenye PM

MMM
 
Pamoja mamito,
Tena huyu anatuogopa mbona kabadili ID,
Japo nishamhisi ni mwanaume ila Vidonge vyetu lzm ameze kwa kujibadili jinsia lol!
Kashindwa kumpa maneno matamu MMEWE,mpaka anakesha na sie JF!!
Umeshindwa kumkuna katuletea kipele wadada wa JF tumejulia kumkuna!
Bila kujijua Mmeo kakolea anasikilizia unajishangaa kubaki kitandani peke yako pole!
Sasa kama ni mwanaume unataka kutuambia kuna uhusiano na Dave Cameroon? Yaani anakameruniwa na limjamaa la JF? Afu hilo likameruni nyie midada ya JF mnalizengea mpaka usiku wa manane? Mi mnanichanganya mjue.......
 
Back
Top Bottom