Wanawake wa Jf, Mnanjaa sana.

Kwanza hiyo 7800 ni nini pili una adabu wewe mtoto? Wataongeza wengine.
 
Baharia unaongez kdg bhna mbn uyu wa apa kigambon anakuj tegeta apa namp teni asee
 
Najikuta na feel pain ya huyo binti. Daah. Huo ni zaidi ya unyama bora hata umpe nauli ya kurudi kwao. Yani ukishatimiza haja zako ndo unamuona kama takataka daah. Is not fair kabisa KABISA. Ni zaidi ya unyama.
Unyama kabisa wala si ujanja
 
Dah.... Mwana umekosa koromeo
 
Hujambo? Humu JF watu wanaona ndo mahala pa kumalizia Stress zao mpaka wanawatukana mama, shangazi, bibi na dada zao.
Mi sijambo kabisa...yani jf. imekuwa na mambo mengi kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…