Wanawake wa JF mnanichekesha sana.

Wanawake wa JF mnanichekesha sana.

mwita25 wewe tayari ni maarufu hapa jf sijui unatafuta nini tena?
 
thread ndeeefu kumbe ni mtu mmoja anajibishana mwenyewe
 
Niki-log on mnajifanya hamnipendi na matusi tele mwanitolea lakini niki-log off hamchelewi kunitumia PM eti ooh sijui mnanipenda mara ooh eti sijui mnani-miss. Kuweni na msimamo nyie viumbe na hasa wewe mwenye jina linalofanana na yule mama anayejipaka mamikorogo.
:A S-confused1:
Ahahahaaa! kumbe huwa wanakumiss poti?
 
Back
Top Bottom