Wanawake wa JF mnanichekesha sana.

Wanawake wa JF mnanichekesha sana.

Mwita25

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
3,831
Reaction score
1,173
Niki-log on mnajifanya hamnipendi na matusi tele mwanitolea lakini niki-log off hamchelewi kunitumia PM eti ooh sijui mnanipenda mara ooh eti sijui mnani-miss. Kuweni na msimamo nyie viumbe na hasa wewe mwenye jina linalofanana na yule mama anayejipaka mamikorogo.
 
Mi nilikwambia I want to know you more ukanijibu kwa ukali... haya bwana! but nilimaanisha mwenzio.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mie nakupenda sana haswa hayo macho yako. Vipi umekuta mtandao upo kijijini?

Ndiyo nimeingia Mwanza. Nadhani tutalala hapa manake mafuta yametuishia na mji mzima umezizima.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
mbona mi siipati hiyo bahati wajemeni, maana naishi mkiwa mie, loh!
 
Ndiyo nimeingia Mwanza. Nadhani tutalala hapa manake mafuta yametuishia na mji mzima umezizima.

Mwanza izizime? labda huijui, tafuta wenyeji. Tembelea Malaika ukale maraha, lakini kama visenti vyako vya bajeti bora usiende unaweza kuanza kukopa kabla hujamaliza sherehe.
 
Mwanza izizime? labda huijui, tafuta wenyeji. Tembelea Malaika ukale maraha, lakini kama visenti vyako vya bajeti bora usiende unaweza kuanza kukopa kabla hujamaliza sherehe.

Hiyo Malaika ni nini? Mimi hupendelea clubbing.
 
Back
Top Bottom