Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,186
hahahhh mm sitaki mwenye hela anajulikana na asiye na hela anajulikana [emoji16]Kunusa kujua mwanamme hapa mwenye pesa
Njoo chemba nikufundishe jinsi ya kuwajua
Utanilipa muamala baadae hela ikiianza kuingia
Madada kibao hapa mewasaidia