Wanawake wa Dar ni wasafi na pia wanajua kujiremba na kupika kuliko wa mikoani

wenzetu huko duniani wanafanya Tafiti za kurusha vyombo mwezini,we mwenzetu unafanya utafiti wa usafi wa wanawake wa Dar?pathetic
 
Niwapongeze kwa kuipenda miili yenu, wanawake wa Dar mkitembelea mikoani mnakuwa na mionekano tofauti na wa huko mikoani.

Wengi wanawaamini katika sekta ya kujiremba na pia kukiwa na sherehe mikoani ninyi wanawake wa Dar endapo mkiwa huko mikoani mnapewa sekta ya mapishi na mapambo.

Hongereni sana wanawake wote wa Dar
Hujawahi fika Tanga wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom