Wanawake wa Dar ni wasafi na pia wanajua kujiremba na kupika kuliko wa mikoani

Tena povu lao lisingekuwa la nchi hii. Mana hadi vibamia vingehusishwa.
Naona siku hizi umetuamlia, maana mada nyingi unapenda sana kuzigeuzia upepo na kuzielekeza kwingine.
Hebu tuanza na wewe

Wewe ni wa dar?
 
Niwapongeze kwa kuipenda miili yenu, wanawake wa Dar mkitembelea mikoani mnakuwa na mionekano tofauti na wa huko mikoani.

Wengi wanawaamini katika sekta ya kujiremba na pia kukiwa na sherehe mikoani ninyi wanawake wa Dar endapo mkiwa huko mikoani mnapewa sekta ya mapishi na mapambo.

Hongereni sana wanawake wote wa Dar
Mkuu utakua huu utafiti wako umeufanya wakati upo unanzia au uko usinginzini kabisa nakushauri tu ujaribu kuurudia tena kwa umakini mkubwa sana na uliotulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke wang sio wa Dar ila n msaf balaa

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Back
Top Bottom