Wanawake wa Dar ni wasafi na pia wanajua kujiremba na kupika kuliko wa mikoani

Ni kweli aise. Na hii ni kwasababu wanawake wa dar wengi wanajiuza kwahiyo hawawazi kingine zaidi ya kutegesha mwili uwe safi kugegedwa at any time but mikoani most of wanawake wanawaza kazi kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa hawa wenye mabaka kwenye joints za miili yao? Yaani Mungu atusaidie, mtu mweupe lakini ukiangalia joints za mikono na miguu hutoamini hizo rangi.
 
Labda kuoga maana wengi wanashinda beach(karbu na bahari) pamoja na kujiremba ila kupika try again later

rap beast
 
Niwapongeze kwa kuipenda miili yenu, wanawake wa Dar mkitembelea mikoani mnakuwa na mionekano tofauti na wa huko mikoani.

Wengi wanawaamini katika sekta ya kujiremba na pia kukiwa na sherehe mikoani ninyi wanawake wa Dar endapo mkiwa huko mikoani mnapewa sekta ya mapishi na mapambo.

Hongereni sana wanawake wote wa Dar
ila wote ni michepuko ya wanaume kutoka mikoani
 
Back
Top Bottom