mark girland
JF-Expert Member
- Feb 7, 2019
- 1,026
- 758
Mara nyingi wanawake hawapendi kutoa namba zao kwa wanaume hata kwenye mambo ya kibiashara kwa kuhofia kusumbuliwa. Hivyo huyo dada alivyotoa namba yake Jamaa kashangaa.Sasa mbona wewe mawazo yako ulipeleka sehemu nyingine badala ya kujikita kwenye biashara yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app