Leo nilikua naingiza Nyimbo kwenye banda 1 la stationary nilimkuta Dada m1 very beautiful.. Japo akili yangu niliwaza lazima atakua na mtu tu. Nilikua nahamisha Nyimbo kutoka kwenye simu kupeleka kwenye flashi akaniambia zisipo play utajulisha nitakupa namba ya simu .
Kidogo tu akatoa simu 1 kali Sana ilikua inaita.. Ile anapokea ikaita nyingine kali kama Ile ile tena kuliko yangu.. Nikagairi hata kuchukua namba yake ya simu.
Nikaaga akasema vipi namba ya simu nikamwambia nitakukuta naenda hapo kununua vocha nitarudi.. Ki1 hadi home..
Sent using
Jamii Forums mobile app